Geita: Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma kujenga Kampasi yake Wilayani Chato

Yes!
 
Kujipendekeza Ili tumbo lishibe ni janga la taifa. Tunakamuliwa Kodi ukichelewa tu riba inakuhusu siku hizi Kodi ni sawa na mkopo ni lzm ulipe na riba. Halafu wa chache Wana mis use Kodi zetu kutafutia sifa kulinda utumbuzi.
Then wanawadanganya watu eti umasikini wetu sababu mabeberu awapendi tuendelee.
 
Sitashangaa, ule Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ukihamishiwa Chato...
 
Shida ndiyo inaanzia hapo vyuo kibao vina branch kila mahali sijwahi ona watu wanahoji sasa hapo kujenga branch tu unaona maneno kibao. Pale maana yake watahudumia mikoa kama minne mitano kwa hiyo ni sawa
 
chato CHATO chato CHATO
Mhe Dkt John Pombe Magufuli, usikubali, kataa Serikali yako isijenge tawi la chuo cha Utumishi wa Umma Chato

Kama inataka kuwasaidia wananchi basi ijikite kwa (wakulima ambao ni tabaka kubwa) basi ijenge tawi la Chuo cha Kikuu cha Kilimo SUA (umuhimu wa kada hii ktk maendeleo ya kilimo ni mkubwa sana hasa kuchochea ukuaji wa sekta binafsi, uchumi, uwekezaji na huduma za kitafiti kwa wakulima) nk

Dkt John Pombe Magufuli tafadhali pamoja na kuwa Cpt John Mkuchika ni mtu mnayeheshimiana sana lkn ktk hili mkatalie - tufanye miradi ambayo mutiplier effect yake inagusa moja kwa moja ukuaji wa uchumi ktk Kaya, Halmashauri, na Taifa.

Tusiharibu fedha za umma
 
Shida ndiyo inaanzia hapo vyuo kibao vina branch kila mahali sijwahi ona watu wanahoji sasa hapo kujenga branch tu unaona maneno kibao. Pale maana yake watahudumia mikoa kama minne mitano kwa hiyo ni sawa
Nadhani tuna shida ktk kuamua kipi kiwe kipaumbele cha kwanza, pili, tatu, nne nk

= Hivi kama ni muhimu kuwa na tawi la Chuo Kikuu hapo Chato kipi kilitakiwa kuanza (a). Cha Utumishi wa Umma, au (b). Cha Kilimo "SUA"?

= Sasa kama kuna hitaji la kuwa na tawi hapo basi tawi hilo liwe kwanza lile linalogusa maisha ya takriban watu zaidi ya 10M (Geita 1M, Kagera 3M, Mwanza 4M, Shinyanga 2M) nk nk

= Baada ya kukamilika kwa Chuo hicho cha Kilimo basi vifuate vyuo ambavyo huandaa mafundi (Engineers) hawa watakuwa kada muhimu kwenye sekta ya viwanda - hatujawa na mafundi ya kuunda gari, meli, ndege, mabomba nk - kwa maana kwamba sekta binafsi na za umma bado tunaagiza vitu hivyo toka nje kwa wingi - magari ya ofisini, magari ya washawasha, vifaru, nyambizi bahari kuu vyote hivi lzm tuangalie jinsi ya kujitengenezea nchini ili ikiwezekana tuwauzie hata wengine.

= Jana niliandika kwa sekta binafsi za Tanzania hazijafanya vizuri kwa msingi kwamba Kenya makampuni 600 yameomba fedha toka AfDB, Uganda 300, na Tanzania 8 tu - tushajiuliza kwa nini tuwe nyuma au chini? Majibu yako wazi kwamba waliomtangulia Dkt John Pombe Magufuli waliwekeza sana ktk mambo mengi yasiyosaidia ukuaji wa sekta binafsi ie kuanzisha Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Chuo cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere, Chuo cha Uhazini nk

Sasa muda huu tusiutumie kujenga vyuo vya aina hiyo - tujenge vyuo vyenye tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…