GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu na wao CCM Kirumba Stadium mkoani Mwanza.
Wenye akili kubwa tunajua kuwa mnahanikiza (mnaipromoti) huu mchezo (hii mechi yenu) na Yanga SC kesho ili uwanja ujae (ufurike) tu na mpige hela, ila kimchezo na kiuhalisia timu ya Geita Gold FC haina uwezo na hata ubavu wa kuifunga/kuwafunga Yanga SC kesho. Labda mjitahidi tu mtoke nao sare/suluhu.
Yaani Kocha wenu mwana Yanga SC lia lia Fred Felix Kataraiya Majeshi Minziro baba Isaya akubali Yanga SC ifungwe naye kesho wakati anajua kuwa jana Simba SC imefungwa na Azam FC na sasa pengo limekuwa/lipo alama (points) tatu tayari?
Na kutuzuga kesho mtawapa goli moja tu.