Geita Gold FC hamna ubavu wa kuwafunga Yanga SC CCM Kirumba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu na wao CCM Kirumba Stadium mkoani Mwanza.

Wenye akili kubwa tunajua kuwa mnahanikiza (mnaipromoti) huu mchezo (hii mechi yenu) na Yanga SC kesho ili uwanja ujae (ufurike) tu na mpige hela, ila kimchezo na kiuhalisia timu ya Geita Gold FC haina uwezo na hata ubavu wa kuifunga/kuwafunga Yanga SC kesho. Labda mjitahidi tu mtoke nao sare/suluhu.

Yaani Kocha wenu mwana Yanga SC lia lia Fred Felix Kataraiya Majeshi Minziro baba Isaya akubali Yanga SC ifungwe naye kesho wakati anajua kuwa jana Simba SC imefungwa na Azam FC na sasa pengo limekuwa/lipo alama (points) tatu tayari?

Na kutuzuga kesho mtawapa goli moja tu.
 
"Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu na wao CCM Kirumba Stadium mkoani Mwanza"

NIMEKUNUKUU[emoji115][emoji115]
Jaribu kujisemea wewe nafsi yako na sio kutujumuisha na sisi hasa unapotumia kauti Kama "kutupotezea muda" ,"tunaojua mpira" nk nk..sio wote tunaopotezewa muda.[emoji1745].
 
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu na wao CCM Kirumba Stadium mkoani Mwanza.

Wenye akili kubwa tunajua kuwa mnahanikiza (mnaipromoti) huu mchezo (hii mechi yenu) na Yanga SC kesho ili uwanja ujae (ufurike) tu na mpige hela, ila kimchezo na kiuhalisia timu ya Geita Gold FC haina uwezo na hata ubavu wa kuifunga/kuwafunga Yanga SC kesho. Labda mjitahidi tu mtoke nao sare/suluhu.

Yaani Kocha wenu mwana Yanga SC lia lia Fred Felix Kataraiya Majeshi Minziro baba Isaya akubali Yanga SC ifungwe naye kesho wakati anajua kuwa jana Simba SC imefungwa na Azam FC na sasa pengo limekuwa/lipo alama (points) tatu tayari?

Na kutuzuga kesho mtawapa goli moja tu.
Sasa mkuu unataka waseme wanafungwa? Unataka wasiipromote mechi yao ili mashabiki wajae wapige hela? Hata kabla ya game ya jana mashabiki wengi wa simba walisema timu yao itashinda
 
Tafadhali hebu acheni kutupotezea muda na kutudanganya watu tunaoujua vyema mpira wa Tanzania (Bongo) na hizi kauli zenu za kimatumaini, kuwa kesho (Jumamosi) mtaifunga Yanga SC katika mechi yenu na wao CCM Kirumba Stadium mkoani Mwanza.

Wenye akili kubwa tunajua kuwa mnahanikiza (mnaipromoti) huu mchezo (hii mechi yenu) na Yanga SC kesho ili uwanja ujae (ufurike) tu na mpige hela, ila kimchezo na kiuhalisia timu ya Geita Gold FC haina uwezo na hata ubavu wa kuifunga/kuwafunga Yanga SC kesho. Labda mjitahidi tu mtoke nao sare/suluhu.

Yaani Kocha wenu mwana Yanga SC lia lia Fred Felix Kataraiya Majeshi Minziro baba Isaya akubali Yanga SC ifungwe naye kesho wakati anajua kuwa jana Simba SC imefungwa na Azam FC na sasa pengo limekuwa/lipo alama (points) tatu tayari?

Na kutuzuga kesho mtawapa goli moja tu.
Ntibanzonsika anawatoboa kesho Vijana wa Afrika

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kuna wachezaji wameshakubali kuisaliti Geita gold.
Waamuzi tayari wako upande wa utopolo.
Hii ni mechi ya maigizo kama zilivyo mechi nyingi za utopolo.

Episode ya 44....Starring anaweza kuuwawa? ...fuatilia upate kujua
Nyie mabingwa watetezi wa mapinduzi mnashindwa kuifunga Yanga kama mfano matokeo yake mnawachia msala wawapiganie
 
GEITA GOLD LEO TUNAJAMBO LETU
TUTAPIGA PALE AL HILAL ALIPOPIGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Sisi Geita tunapiga mtu leo, mshono wa Yanga tunaujua ulipo
 
Ntabazokiza Saido leo lazima atupie, anataka awaonyeshe yeye bado ni bora
Wazee wa mkeka, weka GG
 
Back
Top Bottom