Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.

 
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi ...
Kweli ni swali la kuuliza hilo? Hivi hiyo timu utalinganisha na Simba na Yanga? Ungefikiria kidogo nadhani usingeuliza hili swali
 
muwe mnapata muda wa kuficha upumbavu. Simba inatumia fursa ya fanbase,halafu michango ni hiyari na ni mwitikio wa fans na wanachama. au huko kwenu kuna mtu kashikiwa bunduki kuchanga? acha tuchange tunaotaka,wewe piga kimya
Hawa kima wanahangaika sana na mambo ya Simba, tulipokuwa kwenye mchakato wa kuingi mfumo mpya waliponda sana lakini na wenyewe wameingia huko wako kimya,hata leo uongozi wao wakitangaza kuwa wachangie kujenga uwanya watabana vijambio vyao. Hawa wapuuzi wanakera sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…