Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832

hiyo kampuni ni kubwa kwa afrika unaambiwa madini ualiyopo hapo south afrika inasubiri.

sema wanachota mpaka basi .
nimepata madili hapo na kuna pesa yani unaweza kupiga pesa mpaka ukajiuliza serikali hipo wapi
 
Nimeona huna hoja ila wangefanikiwa kujenga kwa fedha zao hapo ndo ungekuwa na hoja.
Timu ni taasisi so haiwez kujenga uwanja yenyewe bila kuwa na 3rd parties

Mfano mashirika , makampuni, au mtu mmoja ....ila sio kwa michango ya wananch
 
Kweli NI swali la kuuliza hilo? Hivi hiyo timu utalinganisha na Simba na Yanga? Ungefikiria kidogo nadhani usingeuliza hili swali
Swali la kujiuliza ni kuwa ....timu imepanda daraja msimu huu.....lakn haichangish mashabik kujenga uwanja
 
muwe mnapata muda wa kuficha upumbavu. Simba inatumia fursa ya fanbase,halafu michango ni hiyari na ni mwitikio wa fans na wanachama. au huko kwenu kuna mtu kashikiwa bunduki kuchanga? acha tuchange tunaotaka,wewe piga kimya
Mkuu ....kitendo cha kuniomba mchango hata kama sio lazma.....it means ...ntakuchangia tu

But sijawataja SIMBA
 
Hawa kima wanahangaika sana na mambo ya Simba, tulipokuwa kwenye mchakato wa kuingi mfumo mpya waliponda sana lakini na wenyewe wameingia huko wako kimya,hata leo uongozi wao wakitangaza kuwa wachangie kujenga uwanya watabana vijambio vyao. Hawa wapuuzi wanakera sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Acha makasiriko mkuu.....twende kwa hoja.....
 
Fafafanua zaidi mkuu,GGM wametoa b 2.5 izo pesa zingine zilizobaki zitapatikana vipi ili kukamilisha pesa za kujenga uo uwanja?
Hizi ni hatua za awali za ujenziiii

Pesa zingine zitakuja .....ila sio kwa kuchangisha watanzania wanyonge
 
Simba huu uwanja wao ni wa kumfariji Babra.
vipi ule wa kule kigamboni jsm inafungia mbuzi

FD54F2AC-7A9A-47A1-8FD1-10ED9658F38A.png
 
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832

Kuna kitu cha kujifunza pia, ni upi mfumo wa umiliki uliopo kati ya timu zifuatazo:
1: Timu ya Geita gold
2: Timu ya Simba
 
Back
Top Bottom