Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Geita Gold wanajenga uwanja wao bila michango ya mashabiki wake

Sasa wawatangazie mashabiki ambao hawana. Hao hao mashabiki wa Geita Gold ndo mashabiki wa simba na yanga.
Ni kweli but k
Lazima watu wa mkoa husika wanakua mstari wa mbele ili timu yao isipande daraja.......

Mfano MBEYA..... Wanatamani ...timu zao ziwe nying ligi kuu.....so any situation itakayohitaji timu kufanya vizr....huwa wanajitoa sanaa
 
Fight for food for four years ,ndio hii njemba Sasa.

Hata Akili ya kujishughurisha kidogo tu na kuwaza kwa upana hakuna kabisa.

Unakumbuka Yanga aliwahi pitisha Bakuli na kweli alikua anapata pesa nyingi na zikawa zinawasaidia kutatua matatizo yao ,je Rudi hapo hapo unahisi Leo hii Geita Gold nao ikatokea wamepata changamoto Kama ya Yanga ya wakati ule ,hao Geita wakiamua kuchangisha Bakuli Wana jeuri hata ya kupata million 10 mtaani?

Kwenye swala la uwanja wa Simba nguvu ya mashabiki ndio imeamua hivyo viongozi nao wamebariki ,huwez zuia nguvu ya umma.
Hapana mkuu., .....haikuwa nguvu ya mashabiki .....bali ilikuwa tu ni MIHEMKO tu ya mashabiki.......huoni now hilo suala limepoa kabisaaa

Bado hatuendi na professionalism
 
Yanga wanatafuta pakujifichia wakiongozwa na chizi wao manara ila tambua kuna mdhamini nyuma ya pazia,

Kwa hela gani walizonazo yanga wanataka watu wafanane.
Yaaah mkuu...tafuten wadhamini.....nguvu ya umma itawachelewesha
 
Hata wewe hujui zitakujaje.
Hizi ni hatua za awali za ujenziiii

Pesa zingine zitakuja .....ila sio kwa kuchangisha watanzania wanyonge
Alafu watanzania wote sio wanyonge,fundi baiskeli nimemkuta kwenye show ya Falii Ipupa kakaa VVIP.anamiliki smart phone ya gharama akiiuza iyo simu akosi 500k.
 
Klabu ya geita gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12

Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake

Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya

Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
View attachment 2054832
Hakuna cha kujifunza

Geita siyotimu ya umma/wananchi… ni timu iliyoundwa Kwa mfumo tofauti, sawa na Azam, Pilsner (enzi zetu), tumbaku ya Morogoro, mecco, sigara na reli

Labda tujiulize tu, mfumo unaokuja wa soka la wadhamini bila control litatupeleka wapi?

Ligi za Ghana na Nigeria, zimefia hii model yetu tuliyoiokota na kuzaa ligi dhaifu zenye rushwa, ulaghai na udumavu wa local talents
 
Back
Top Bottom