SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na ndiyo maana leo hii yuko motoniSorry mkuu......nime mnukuu anko jiwe ....alipenda kutuita hivyo
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndiyo maana leo hii yuko motoniSorry mkuu......nime mnukuu anko jiwe ....alipenda kutuita hivyo
Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?🐒🐒🐒🐒🐒🐒muwe mnapata muda wa kuficha upumbavu. Simba inatumia fursa ya fanbase,halafu michango ni hiyari na ni mwitikio wa fans na wanachama. au huko kwenu kuna mtu kashikiwa bunduki kuchanga? acha tuchange tunaotaka,wewe piga kimya
Wachange nani wakati hao mashabiki hawana, ukiachia simba na yanga hakuna hata timu moja inayotimiza mashabiki buku.Yah mkuu....lkn hawajatangaza kuwa wachangiwe na mashabiki
Engineer anaacha kujenga uwanja wa mazoezi yeye anadhamini Ligi Kuu kimagumashi.Simba huu uwanja wao ni wa kumfariji Babra.
Una uchungu sana ña pesa za wenyewe?FFunbase
Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Una uchungu sana ña pesa za wenyewe?FFunbase
Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?🐒🐒🐒🐒🐒🐒
Yah mkuu....lkn hawajatangaza kuwa wachangiwe na mashabiki
Huyo ....itakuwa ana utajiri wa ndagu......mashartiHata wewe hujui zitakujaje.Alafu watanzania wote sio wanyonge,fundi baiskeli nimemkuta kwenye show ya Falii Ipupa kakaa VVIP.anamiliki smart phone ya gharama akiiuza iyo simu akosi 500k.
Mantiki ya umiliki wa hizi timu ndo msingi wa nani abebe jukumu kubwa la maendeleo:Pia hata namna ya ku handle Mambo ya maendeleo ....lkn sio kuhamssisha wabongo wakuchangie........
Utachelewa sana
Ligue yetu ndio inaenda kuwa super .....coz now wazamin ni weng kiasi kwamba ukata wa timu unapunguaHakuna cha kujifunza
Geita siyotimu ya umma/wananchi… ni timu iliyoundwa Kwa mfumo tofauti, sawa na Azam, Pilsner (enzi zetu), tumbaku ya Morogoro, mecco, sigara na reli
Labda tujiulize tu, mfumo unaokuja wa soka la wadhamini bila control litatupeleka wapi?
Ligi za Ghana na Nigeria, zimefia hii model yetu tuliyoiokota na kuzaa ligi dhaifu zenye rushwa, ulaghai na udumavu wa local talents
Cha kujifunza ni kwamba timu ambazo hazijapata wazo la kujenga uwanja ikiwamo Yanga, sasa zijue kuwa zinaweza kujenga viwanja vyao vya walau mashabiki 12,000 bila kuwachangisha mashabiki waoIkumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya
Je kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold
Sahihi kabsaaFFunbase
Inafaidika vipi kiuchumi alaf? Au fedha za mapato ya kiingilio mshatoa sadaka kwa mwekezaui? Morning is a smart guy, you guys be smart Mana mnalanguliwa. Yani ndo Mana sioni umuhimu was kufatilia soka Tanzania Mana watanzania Ni watu wapumbavu Sana. Club baada ya kwenda public na kufaidi a wanachama wake eti inachangisha hell au mijitu inachangia!!!!!?[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]