Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mashabiki wa Simba na Yanga ni kama Democratic an Republican
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimechangia tangu kampeni imeanzaChangia Simba kwanza mkuu
Unajua kuwa TZ Kuna watu wanapesa Sana .....lkn hawajulikani kwenye u milionea..kwa sababu weng utajiri ni wa vibwengo ambao haurusiw kuweka pesa benkiSio utajiri wa ndagu,wabongo wa kipato cha chini na cha kati wananguvu na mipango dhabit kwenye kufanikisha mambo ya starehe.
Huo mwandiko ni wa kitoto mkuumm n mzee mkuu ....nmeshapita hizo level zenu hizo
Kwaio unakubaliana na mimi watanzania wengi sio wanyonge,michango uwa wanatoa tu iwe ya harusi,matibabu,kujenga uwanja wa Simba n.k.Unajua kuwa TZ Kuna watu wanapesa Sana .....lkn hawajulikani kwenye u milionea..kwa sababu weng utajiri ni wa vibwengo ambao haurusiw kuweka pesa benki
Sio washabiki ni mashabiki!
Wanachungia mbuzi na punda. Mnyeti kachacha.Wa gwambina unafanyiwa nini siku hizi?
Acha kupotosha wewe ngiri jike, uwanja ni H/shauri na sio Geita Gold,Klabu ya Geita Gold sport inaendelea na ujenzi wa uwanja wake ambao utakuwa na uwezo wa kuingiza mashabiki elfu 12
Kampuni ya Geita Gold imetoa TZS 2.5 B kwa ujenzi wa hatua za awali ambao utatumika kwenye mechi zake
Ikumbukwe timu ya Geita gold imepanda daraja msimu lakni inajenga uwanja wake bila MICHANGO kutoka kwa mashabiki , wanachama na wadau mbali mbali kama kwa timu nyingine znavyo fanya
Je, kuna cha kujifunza hapa kwa Geita Gold.
View attachment 2054832
Wana mashabiki kutokea wapi kwanzaYah mkuu....lkn hawajatangaza kuwa wachangiwe na mashabiki
Lakini pia SIMBA inaendeshwa kwa mihemko na sio welediTafsiri ya uwanja kwa Geita ni tofauti na tafsiri ya uwanja ambayo simba inatazamia kuwa nao
Kiwanja inachotaka Geita kujenga hakina hadhi kujengwa na timu kubwa na wawakilishi wa nchi na africa mashariki na kati kama Simba
Ni sawa na useme yani serikali kwenye kujenga bank kuu ya tanzania imechangisha watu kodi wakati huku mtaani kuna jamaa ana bank binafsi na kajenga kwa pesa yake
Swali ni kwamba je kwasababu zote ni bank je zina hadhi sawa?