Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

Tatizo la Bukoba na Moshi ni special case stendi zao za hovyo sana na sababu kuu wenye vyeo na uwezo serikalini na sekta binafsi hujenga sana mikoa mingine na vijijini kwao Miji yao wala hawahangaiki nayo ndio maana stendi ya Moshi. Mjini na bukoba mjini utafikiri stendi za boda boda
Kwan stendi hujengwa na watu binafsi au serikali
 
Hapana stend Moshi ni superb sana na ziko 2 ya zamani na mpya zote lami tupu na majengo mazuri ya gorofa huwezi linganisha na geita au bukoba
 
Uongo. Kahama iko shinyanga na imepewa hadhi ya jiji la Kahama
Kahama ilipewa hadhi ya kuwa Manispaa na Shinyanga bado ni mkoa ambao hauna hadhi ya kuwa JIJI na bado nasisitiza tena Shinyanga ni mkoa wa hovyo.
 
Kahama ilipewa hadhi ya kuwa Manispaa na Shinyanga bado ni mkoa na bado nasisitiza tena Shinyanga ni mkoa wa hovyo.
Hapana sio kihivo kwamba ni hovyo hapana shinyanga iko vizuri tu tatizo labda kijijini sana huko ndo kuna changamoto! Lakini ukiangalia hata mzunguko wa hela shinyanga hususani kahama hata hiyo moshi yako haifikii kwa hiyo tusiongee kwa mihemko!
 
Mkuu sijaongelea lolote kuhusu Mkoa wa Moshi kwahiyo umeninukuu vibaya kuhusu Kahama kuwa na mzunguko wa pesa hilo nakubaliana na wewe.
 
Mkoa wa shinyanga na wakazi wake unaweza kuuchukulia poa kutokana na hali ya ujangwa ila nikwambie ni mkoa ambao wakazi wake wako vizur sana kwenye issue hata za biashara!
 
Hamna basi inayolala Chato.
John alihamishia miradi yote wilayani chato akasahau mkoa wake geita,chato wana bonge la standi japo kuna lala mabasi makubwa mawili tu,moja la mwanza na la bukoba
 
Sasa lile listendi lote la nini
Hata ukiwa dar huwezi pata basi la kuja Chato sana sana utapanda bus la takibiir linaishia katoro then unafaulishwe kwenye Coaster kufika Chato.
 
So hakuna route ya chato bukoba,au chato mwanza?
 
Route ya dar -bukoba haipiti Chato, Dar- mwanza haipiti Chato. Kuna route ya mabasi ya mwanza -bukoba ambayo haiwezi kulala Chato coz mwanza -bukoba ni almost masa tisa umefika sasa unaanzaje kulala Chato.
 
Hapana sio kihivo kwamba ni hovyo hapana shinyanga iko vizuri tu tatizo labda kijijini sana huko ndo kuna changamoto! Lakini ukiangalia hata mzunguko wa hela shinyanga hususani kahama hata hiyo moshi yako haifikii kwa hiyo tusiongee kwa mihemko!
Kahama ni level nyingine, kuna siku nilienda soko la madini pale kuna wasukuma wana pesa bana acha kabisa ni vile hayapendi makelele na kujionyesha.

Charges wanazo chukua serikali kupitia lile soko tu zinaweza jenga stand ya kisasa achana na zile za Buzwagi. Tunatamani tupate kiongozi anaetokea huku kwetu pengine atakumbukakujenga kwao.
 
Route ya dar -bukoba haipiti Chato, Dar- mwanza haipiti Chato. Kuna route ya mabasi ya mwanza -bukoba ambayo haiwezi kulala Chato coz mwanza -bukoba ni almost masa tisa umefika sasa unaanzaje kulala Chato.
Chato napajua,bokoba bwanga,katoro,buseresere,geita,sengerema ,bukoba,muleba.point yangu hakuna gari zinaanzia chato kwenda bukoba?au chato to mwanza?
 
Mkoa wa shinyanga na wakazi wake unaweza kuuchukulia poa kutokana na hali ya ujangwa ila nikwambie ni mkoa ambao wakazi wake wako vizur sana kwenye issue hata za biashara!
Kitu napenda ni kwamba uchumi wetu tunamiliki wenyewe kwenye kilimo cha mpunga, maduka makubwa na viwanda kwa Kahama. Wamiliki wa migodi midogo, wachimbaji na wauzaji wa madini ni wasukuma kwa asilimia 97. Kahama tunajenga wenyewe
 
Back
Top Bottom