Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

Hiyo baa yuko mhudumu peke yake, hakukua na mnywaji mwingine! Mimi naona hawakuelewana tozo.
 
Bar maid huwa Ni watamu sana!Pia wako tayari kwa mechi hakuna sababu ya kumbaka! Andaa malipo yake tu ukajilie mzigo!
 
Ameharibu mustakabali wake kwa kukosa kutumia busara ya kiasi tu.
 
Tangu lini baamedi akabakwa bhana?

Uyo atakua kala mzigo afu Ela kagoma kulipa.
 
Jamaa anatumia force kudadeki ona ananyea debe. Dada mkanushe kuwa hakukubaka.
 
huyo muhudumu atakua alikua ameshakula bia za jamaa sio hivi hivi Mahakimu na nyie muwe mnatenda haki Demu hawezi kula vya Mtu halafu akakataa kutoa mzigo bhana ...
 
Alishamkopa huyo barmaid ndio malipo yake.
Tanzania kote watu wote Wana Imani kwamba barmaid Ni Malaya kitu ambacho sio kweli.
UkiItaka kuhakikisha hebu mkeo akuone unaongea na barmaid au una simu yake.
 
Safi sana,
Heko kwa hakimu hajataka kukandamiza haki ya huyo binti kisa kazi yake,

Huyo mbakaji acha akakutane na wabakaji wenziwe huko jela wabakane uzuri,

Fundisho kwa Wabakaji wote waliopo humu na nje ya humu, mwisho wa ubakaji jela miaka 30.
Wanawake mna roho ngumu kama vile humjaenda leba jamani 🤒🤒🤒🤒 yaani mtoto wa mwenzio huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…