Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

Geita: Jela miaka 30 kubaka mhudumu wa baa

Huyo mbakaji atakuwa TAGA maana ndio wanapoenda short cut + kitonga.
Mbususu zimejaa telee hadi zinamwagika kwanini ubake? Kama hakuwa na pesa ya kuhonga si angeenda kumuona mwenyekiti wa MATAGA kata au wilaya si wanamiliki Vieite,pesa wanazo..!
 
Kwa vile Ndugai dish limeanza kukaa vizuri labda atapata bahati kupunguziwa miaka.
 
kwahiyo atatoka akiwa na 54yrs,huku akiwa member wa kudumu wa chaputa kwa miaka 30 kule jela...hatari sana
 
Mukuma bwana akishafikishwa police hukubali kila kitu.... huyu ni wangapi kumabaka wa 6 hahahhhahahahahaha akijua atasemehewa
 
Dhambi ni tamu kwa kitambo.
Tamaa mbele mauti nyuma.
 
Lazima tuangalie hizi kesi kiundani jamani,eti kamshikia kisu,kamvuta pembeni ya bar aka mbakaa,umri miaka 21.nazani Kuna issue nyingine mahakama ifanye uchunguzi kiundani zaidi.nazani kulikuwa na makubaliano then hawakufikia muafaka.
 
Badala aende na 10k ye kaenda na kisu.. Matokeo kala mvua 30 mamaee bado kijana mdogo kabisa, so atatoka na miaka 54 😕😕
 
Alishindwa kuhimili mihemko yake baadae ya kumwona demu kainama akipiga deki huku kavaa mini
 
Usanii tu hapo jamaa hatakuwa alizinguliwa hayo madude usipokuwa na akili yanaweza kunywa bia zako na kula alafu yanasepa.
 
Usanii tu hapo jamaa hatakuwa alizinguliwa hayo madude usipokuwa na akili yanaweza kunywa bia zako na kula alafu yanasepa.
Nakubaliana na hili hutokea mara nyingi sana, na ukijifanya komando Yosso hiyo nyama yako ya elfu 30 mliyokula inaweza ikakutokea puani bora umuache apite hivi alafu unapanga plan mpya. Siku akiingia kwenye 18 zako Akiileta unaisugua mpaka anaomba maji na hapewi. teh teh
 
Yaani muhudumu wa Bar, tena miaka 21, kabakwa?

Hapana aisee kwa hapa nakataa. Kutakua na kitu kingine ambacho hatukijui.
Kubaka ni kumuingilia mtu mwanamke kwenye uke wake bila yeye kukubaliana na wewe yaani bila ridhaa yake.Nchi zilizopiga Kasia kimaendeleo hata ukimwingilia mkeo bila ridhaa yake ni kosa la ubakaji.
 
Huyo aliyebakwa Utamu aliusikia au hapana? Ukiangalia Umri wao utagundua kuwa ni Watu wazima ( Vijana ) hivyo kuniambia kuwa Mwanamke alibakwa kidogo napatwa na Ukakasi fulani vile. au alimpelekea Moto Buza kwa Mpalange na Kuharibu kabisa Miundombinu ya Kibaiolojia ya huko?
Rudi kwenye tafasiri ya kosa la kubaka.
 
Back
Top Bottom