Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani hiyo hiyo ungeionesha kwenye ule uzi wa Lissu aliosema ametishiwa kuuwawa hivyo amejihifadhi kulinda uhai wake basi ningekuona wa maana!Kule mnakejeli na huku mnakuwa na maneno ya busara!Mimi na wewe hatujui tumebakisha muda gani pia
Shukuru Mungu kwa pumzi ya kuweza kutype hapa JF. Walionusurika kufa ni wengi na ni mpango wa Mungu pia
Ukipanda chuki, ulafi, dhuluma, kibri unarajia kuvuna nini?Mbona ushabiki wa kisiasa unawatoa utu kiasi hiki aisee
Bora sisi tunaoombea misiba ya watesi wetu kuliko hao wanaotumia madaraka yao kukatisha uhai wa wengine!Hongereni wote mnaoshabikia misiba ya wenzenu na kuwaombea wengine wafe mkiwa nyuma ya keyboards. Mbarikiwe sana kwa kuweza kujipa moyo kwamba mna kibali cha kuishi duniani milele huku mkiwaombea wengine wafe.
Wengine tunaamini kwenye neno hili. "Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye" Mathayo 24:36
Alafu huo uchaguzi unaweza usi-shiriki, utakuwa muangalizi ukitumia binocular ukiwa akhera.Hii itakua ni njia pekee ya kurudia uchaguzi.
We dada usitafute justification kwa yaliyotokea huko Zanzibar na bara.Hakuna ajuae kama kweli waliiba, hakuna anayejua kama walikufa na dhambi, na hakuna sababu ya kuwahukumu marehemu kwa kuwatakia mabaya
Tujiulize sisi tuko sawa na Mungu kwa kila neno? Na tutaondokaje?
Watu wanaokuwinda na bunduki, panga na madumu ya petroli utakuwa na utu nao kweli hata kama ni wewe ?Mbona ushabiki wa kisiasa unawatoa utu kiasi hiki aisee
Mungu ndio mpangaji wa nani aondoke lini na nani abaki, ila hakuna atakaebakia milele
Pole kwa wote walioguswa na misiba hii
Madiwani wapumzike kwa amani Amina
Tena Burudani mnoo!Hongereni wote mnaoshabikia misiba ya wenzenu na kuwaombea wengine wafe mkiwa nyuma ya keyboards. Mbarikiwe sana kwa kuweza kujipa moyo kwamba mna kibali cha kuishi duniani milele huku mkiwaombea wengine wafe.
Wengine tunaamini kwenye neno hili. "Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye" Mathayo 24:36
Kwa hiyo wale wote waliotangulia mbele ya haki wamepewa adhabu??Ni kweli, ila kifo pia hutolewa na Mungu kama adhabu.
Kuna tatizo sehemu. Watanzania hawakua hivi. Sasa chama kiandae wengine wa kupita bila kupingwa, hatutaki kuchanganyiwa na wa upande mwingine.Mbona ushabiki wa kisiasa unawatoa utu kiasi hiki aisee
Wakuziba hizo nafasi nao wapitisheni bila kupingwa ili tusipoteze muda kusumbua watu kupiga kura kwa sababu hamtaki kuchanganyiwa na wa vyama vingine.Hakuna ajuae kama kweli waliiba, hakuna anayejua kama walikufa na dhambi, na hakuna sababu ya kuwahukumu marehemu kwa kuwatakia mabaya
Tujiulize sisi tuko sawa na Mungu kwa kila neno? Na tutaondokaje?