TANZIA Geita: Madiwani wawili wateule wa CCM wafariki dunia

Sasa kama mnalijua hlo mbna mnauwa wenzenu???

Laiti ungewaza vizuri ungeondoa chuki kwa vyama na kudeal na wauaji.

Kwa hii style ya uandishi wako akatokea na mCCM mwenye style hiyo watanzania watachinjana ila bahati hao CCM wanafuata taratibu hawatukani wala kutuhumu vyama pinzani






Na huo ndio ustaarabu wa mtanzania
 
Hao walompigia sim kama sio watu wake aweke mawasliano hapa. Hakuna anayetaka kumuua aache kujitisha

Ila kama anapenda kuishi ubalozini vile

Kwenye uzi wa Lisu uliandika hivyo.

Ni halali pia wengine kufurahia Vifo vya Madiwani wa CCM kama wewe ulivyofurahia Lisu kutishwa
 
Yaani kuhusisha siasa na vifo au kushangilia mtu kufa kwasababu ya itikadi yake,ni zaidi ya ulimbukeni
 
R.I.P madiwani wateule. Poleni familia za wafiwa. Poleni Chama Cha Mapinduzi
 
Mbona ushabiki wa kisiasa unawatoa utu kiasi hiki aisee
Si bora ushabiki wa Hawa waliyo fariki kwa njia zilizo zoeleweka?Vipi ushabiki wa wale walio katizwa maisha yao kwa Risasi?Napo ulikemea hivi hivi?
 
Kwenye uzi wa Lisu uliandika hivyo.

Ni halali pia wengine kufurahia Vifo vya Madiwani wa CCM kama wewe ulivyofurahia Lisu kutishwa

Kwani Tundu amekufa nikafurahia???

Huoni kama hao wanaomtishia ni sawa wawekwe hadharani ili washughulikiwe?

Acha kujichanganya utachanganyikiwa bure
 

Diwani mteule ameteuliwa lini?
 
Mods wanahariri hadi comments?Kama mimi sijaguswa na vifo hivi halafu nikasema wazi kabisa,kosa liko wapi?Hii JF imekuwa kituko kweli!
 
Kwani Tundu amekufa nikafurahia???

Huoni kama hao wanaomtishia ni sawa wawekwe hadharani ili washughulikiwe?

Acha kujichanganya utachanganyikiwa bure
Ulitaka afe ili ushangilie vizuri ?
 
Ila huwa unashangilia wakipigwa watu risasi ?

Huwa nawashauri watoe ushirikiano kwenye vyombo sahihi ili hayo matukio yafanyiwe kazi.

Wasiwafiche mashahidi wala suluhu sio wakimbilie ubelgiji na kwenda kutoa taarifa BBC, Al Jazeera, DW.... na kwingineko ambako hadi sasa hawajawasaidia chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…