Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

Yakishindwa kulana yenyewe kwa yenyewe yataanza kufumuana marinda
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka CCM Viongozi hao 50 wanatuhumiwa kuhujumu chama hicho wakati wa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020.

Hujuma hizo zilipelekea kupungua kwa idadi ya kura alizopata Mgombea Urais wa Chama hicho baada ya matokeo kutangazwa

MCL
 

Waache wafu wazikane!! Hakuna wapinzani waache wararuane wenyewe kwa wenyewe.
 
Shetani hajawahi kuwa na rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…