GEITA: Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana azungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
IMG-20220904-WA0075.jpg

Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Geita na kuzungumza na viongozi wa chama wa mkoa huo.

Mzee Kinana akitokea mikoa ya Kigoma na Kagera katika ziara yake ya siku sita, hatimaye amefika mkoa wa Geita na baadae Mwanza.

Kinana akizungumza na viongozi hao, amewataka kuendeleza ushirikiano uliopo ambao amesema ni nyenzo muhimu na msingi sahihi kwa maendeleo ya jamii.

Pia, amepongeza kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa chama na serikali mkoani humo, huku akiwasisitiza viongozi na watendaji kuendelea kutatua changamoto za wananchi ili kuharakisha maendeleo.

=== ===
 
Asante KWA taarifa

Mkumbushe hili

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
 
Tutakula katiba?
Kwani hii iliyopo tunaila!!?

Kikwete alipoona mapungufu ya Hii iliyopo hadi akawaita kina Warioba ulimuuliza Hilo swali!?

"Mzee Warioba arudishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"!
 
View attachment 2345364
KINANA NA SHAKA WATIA SAINI KITABU CHA WAGENI, WAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM GEITA.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita na kuzungumza na viongozi wa Chama wa mkoa huo.

Mzee Kinana akitokea mikoa ya Kigoma na Kagera katika ziara yake ya siku sita hatimaye amefika mkoa wa Geita na baadae Mwanza,

Kinana akizungumza na viongozi hao, amewataka kuendeleza ushirikiano uliopo ambao amesema ni nyenzo muhimu na msingi sahihi kwa maendeleo ya jamii.

Pia, amepongeza kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa Chama na Serikali mkoani humo huku akiwasisitiza viongozi na watendaji kuendelea kutatua changamoto za wananchi ili kuharakisha maendeleo.

=== ===
 
..Mzee Kinana amechoka kufanya mikutano ya hadhara?
 
MKUU

Unamaanisha wanapika vikiiva watavileta sebuleni!!
 
View attachment 2345364
Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Geita na kuzungumza na viongozi wa chama wa mkoa huo.

Mzee Kinana akitokea mikoa ya Kigoma na Kagera katika ziara yake ya siku sita, hatimaye amefika mkoa wa Geita na baadae Mwanza.

Kinana akizungumza na viongozi hao, amewataka kuendeleza ushirikiano uliopo ambao amesema ni nyenzo muhimu na msingi sahihi kwa maendeleo ya jamii.

Pia, amepongeza kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa chama na serikali mkoani humo, huku akiwasisitiza viongozi na watendaji kuendelea kutatua changamoto za wananchi ili kuharakisha maendeleo.

=== ===
Mzee Kinana ni jembe kwelikweli, Mungu ampe Maisha marefu ili aisaidie kwa haki nchi hii
 
View attachment 2345364
Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Geita na kuzungumza na viongozi wa chama wa mkoa huo.

Mzee Kinana akitokea mikoa ya Kigoma na Kagera katika ziara yake ya siku sita, hatimaye amefika mkoa wa Geita na baadae Mwanza.

Kinana akizungumza na viongozi hao, amewataka kuendeleza ushirikiano uliopo ambao amesema ni nyenzo muhimu na msingi sahihi kwa maendeleo ya jamii.

Pia, amepongeza kazi kubwa inayofanywa na viongozi wa chama na serikali mkoani humo, huku akiwasisitiza viongozi na watendaji kuendelea kutatua changamoto za wananchi ili kuharakisha maendeleo.

=== ===
Karibu Sana Mzee Kinana, Kaziiendelee
 
Back
Top Bottom