Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center.
Your browser is not able to display this video.
Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa kudanganya kuwa ana miaka 48.