Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Huwa tunaita hamaki, ushawahi kukutwa na moto ndani weye? Haha hata kama ulikua unafuga lijoka ndani hutapata muda wa kulificha majirani wasione.Du. Halafu unajua kufariki kwake ilikuwa ni kama ghafla tu. Nasikia japo alikuwa anaumwa lakini hakuna aliyetegemea hali ingebadika ghafla kama ilivyotokea. Kabla alikuwa anaumwa lakini siyo ile kuumwa kwa kutisha lakini ikatokea kama ghafla akapoteza fahamu na ndiyo hakuzinduka tena. Hivyo nadhani vitu vingi vilitakiwa kuwa siri vilikuwa vipo ''open'' kutokana na kukosa muda wa kurekibisha.
Magufuli alikua fisadi wa viwango vyake zaidi ya kikwete, ndio maana alipenda sana giza.