Geita: Mayanga Contracts LTD, imeshindwa kumaliza ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa baada ya Mwenye Kampuni kufa?

Huwa tunaita hamaki, ushawahi kukutwa na moto ndani weye? Haha hata kama ulikua unafuga lijoka ndani hutapata muda wa kulificha majirani wasione.

Magufuli alikua fisadi wa viwango vyake zaidi ya kikwete, ndio maana alipenda sana giza.
 
Jpm leo akifufuka atajisahihisha namna ya kuishi na viongozi wenzake vizuri. Kila mmoja ataungana na mimi namna bora jpm alivyopambana na vita vya rushwa na ufisadi ila kuna points of miscalculation aliziifanya.
Watu wa ajabu sana nyinyi!! Yaani unaota JPM afufuke? What for? Nani anataka ile TAKATAKA? Anyway muache afufuke ila Mimi najitolea NITAMUUA tena arudi kuzimu
 
Magufuli alikuwa fisadi wa kutisha aliyejivika uzalendo fake ili atuibie vizuri. Wajinga wenzie wallimwamini na kumsifia sana
 
Geita ilikuwa inageuzwa dubai mnxyiiiiiuuuu!!! kuna muda bora mtu apishe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…