A
Anonymous
Guest
Kuna vumbi la hatari, likipita gari hapo inakuwa balaa mnatafutana, imekuwa kero kubwa kwa Wananchi, pia ni hatari kwa kuwa magari yakipita yamefuatana vumbi linaweza kusababisha madereva wakakosa kuona vizuri na kusababisha ajali kwa watu walio jirani na Barabara.