KERO Geita: Mkandarasi anayejenga kipande cha Uyovu-Bukombe anatukomesha kwa vumbi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
Mkandarasi anayejenga Barabara hapa kipande cha ‘diversion’ kinachokarabatiwa katika Kijiji cha Uyovu Wilayani Bukombe hatutendei haki kwa kutomwaga maji angalau kupunguza vumbi.

Kuna vumbi la hatari, likipita gari hapo inakuwa balaa mnatafutana, imekuwa kero kubwa kwa Wananchi, pia ni hatari kwa kuwa magari yakipita yamefuatana vumbi linaweza kusababisha madereva wakakosa kuona vizuri na kusababisha ajali kwa watu walio jirani na Barabara.
 
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…