Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Kweli kabisaKile unachokiona Geita (nimeishi pale Nyang'hwale) ni matokeo ya mikataba mibovu iliyoingiwa na viongozi wa nchi hii na wao kwenda kujineemesha.
Yote uliyosema ni kweli ukila nanasi la geita hutakula nanasi la mahali pengine uhisi umekula nanasi
Mikataba mikataba mikataba hiki ndio nira iliyoiba na kumaliza mali za watanzania na ndoto hata ya kuwa Gaborone haipo acha Jos
Geita mkoa mzima hauna Rami kilomita 10
(Usiniambie Ile ya highway ya mwanza bukoba) hakuna maji ya uhakika
Nilikuwa nabeba ukifika dar ukiwapa kesho yake wakileta Yao nyumba nzima wanakataa kula nikaona ni kuwatesa Geita Kuna nanasi aisee na embe na samaki na Kila utajiriKweli kabisaView attachment 2669243
Nasikia, Kenya ilishawahi kusifiwa kwa kusafieisha TANZANITE.Sijawahi kufika Geita lakini tatizo ni CCM, angalia Mirerani na utajiri uliyopo ni aibu tupu lami yenyewe ya mchongo tena ya juzi, Arusha na Moshi hakuna stand
Aisee!upele humuota asiye na kucha
Ninazifahamu. Ni tamu mno.Kweli kabisaView attachment 2669243
Kwa utajiri uliopo Geita, ilistahili iwe na Airport kubwa na ya kisasa.Nilikuwa nabeba ukifika dar ukiwapa kesho yake wakileta Yao nyumba nzima wanakataa kula nikaona ni kuwatesa Geita Kuna nanasi aisee na embe na samaki na Kila utajiri
Uko sahihi kabisa lakini kinyume chake hali ni mbaya Sana mvua ikinyesha barabara hazipitiki kabisaKwa utajiri uliopo Geita, ilistahili iwe na Airport kubwa na ya kisasa.
Kwa utajiri uliopo Geita, ilipaswa kuwa na miundombinu bora kabisa.
Kwa utajiri uliopo Geita, kulipaswa kuwepo na mijengo inayotambulisha kuwa ni mkoa tajiri.
Kwa utajiri uliopo Geita...
Kipindi cha cha kiangazi nako kuna balaa la vumbi.Uko sahihi kabisa lakini kinyume chake hali ni mbaya Sana mvua ikinyesha barabara hazipitiki kabisa
Tena Kama kipindi hik Kuna vumbi jaman geita duuhKipindi cha cha kiangazi nako kuna balaa la vumbi.
Vumbi jepesi linaingia hadi kwenye Koo dhahabu unaweza kuwa unachimba choo ukakutana na mkanda ila geita imebarikiwa aiseeKipindi cha cha kiangazi nako kuna balaa la vumbi.
Sikuwa na kawaida ya kuvaa kofia wala miwani, lakini kuna maeneo ukipita, inabidi uvae kofia na miwani ya kukukinga na vumbi. Vinginevyo, utafika uendako ukiwa umetapakaa vumbi kichwani na usoni. Ndivyo wengine tufanyavyo. Unavaa kofia na miwani, ukishapita eneo lenye vumbi sana, unazivua na kuzihifadhi kwenye begi.Tena Kama kipindi hik Kuna vumbi jaman geita duuh
Jamn tunaoshi Geita tunapata tabu some timeSikuwa na kawaida ya kuvaa kofia wala miwani, lakini kuna maeneo ukipita, inabidi uvae kofia na miwani ya kukukinga na vumbi. Vinginevyo, utafika uendako ukiwa umetapakaa vumbi kichwani na usoni. Ndivyo wengine tufanyavyo. Unavaa kofia na miwani, ukishapita eneo lenye vumbi sana, unazivua na kuzihifadhi kwenye begi.
Mimi ni mpitaji Geita, lakini kwa jinsi palivyo, nahisi kuwahurumia wenyeji wake na kuwakasirikia viongozi wake.Vumbi jepesi linaingia hadi kwenye Koo dhahabu unaweza kuwa unachimba choo ukakutana na mkanda ila geita imebarikiwa aisee
Kumbe ni wa Geita! Tuambie, kwa nini Geita, mkoa mzuri "mtajiri" uliojaliwa utajiri siyo tajiri?Jamn tunaoshi Geita tunapata tabu some time
Lakini mkuu, Geita ni Tanzania pia. Na kama upo Dar Es Salaam au Dodoma, huenda unanufaika na "jasho" la Geita kuzidi wanaoishi Geita. Uupende tu, na uutetee ukiweza.Geita ni mkoa ambao kila ukitajwa mwili wangu unasisimka maana huwa nalikumbuka dikteta uchwara lililotoka mkoa huo.
Kwahiyo huwa siupendi kusikia wala sina mpango wa kutembelea mkoa huo wenye laana ya kumtoa dikteta aliyeitesa na kuinajisi nchi kiasi kile
Hakuna nchi iliyofaidika Kwa ku entertain wachimbaji wadogo...huu ndo ukweli....mchungu watu wakitaka mafanikio lazima tuambiane...na Mererani vumbi limepungua siku hizi? Kenya wanafaidika zaidi na tanzanite kuliko wenyewe.
Mkuu, kuna hoja hapo juu kuwa Kenya inanufaika zaidi na Tanzanite kuliko wenyewe. Kama ndivyo, Kenya inanufaika kupitia wachimbaji wakubwa au wadogo?Hakuna nchi iliyofaidika Kwa ku entertain wachimbaji wadogo...huu ndo ukweli....mchungu watu wakitaka mafanikio lazima tuambiane...