GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Hivi tatizo ni nini lakini? Uafrika?Unaposhangaa ya mkoa wa Geita unapaswa ushangae pia na ya mkoa wa Shinyanga wale Wana Almasi na Dhahabu pia lkn ni maskini wa kutupwa.
Inasemekana, miaka kama kumi hivi baada ya mgodi wa Almasi kuanza kazi, Williamson alikuwa ameubadilisha sana mji wa Mwadui.
Vipi kama Williamson angeendelea na hiyo Kasi kwa miaka hamsini mfululizo?