Geita: Mti ulioanguka miezi mitano iliyopita wainuka na kuanza maisha tena

Waandishi wa kuokoteza.
Huo mti ulianguka sababu ya uzito,wakaukata kioande kikubwa uzito ukapungua.
Mizizi ilikuwa hai ilikuwa inauvuta mti (tension force) urudi sawa sawa kuweka balance sababu haijakatika.
Hiyo hutokea Sana hakuna maajabu au muujiza.
 
Yapo matumaini ya kwamba mti ulionyauka utachipuka Tena...

Huo mti ni Mkristo aliyetenda dhambi anaweza kutubu na kuwa msafi...
Amina.
Biblia (Mungu) kathibitisha hili.
Na hapo kuna mtu anarudiwa na Mungu kwa nguvu
 
Ngoja tutakwenda kule kufanya utafiti tujue kila kitu na kuwajuza
 
Uhengani huko kila kitu kinawezekana.
 
Kumbe hii kitu inaitwa 'mental case/iliness' ipo kweli!!!!!
 
Picha ya ulivokua umeanguka iko wap, zaidi ya hapo ni story za kubumba watu wanakimbizana na trending news, shame on EATV journalism gan bila vithibitisho.
Yani Kuna vitu vya ajabu....

Mti mizizi haijakatwa..unachipua...

Alafu watu wajingajnga wataenda pigwa pesa hapo..
 
Sayansi itahusika, ila WABONGO watalazimisha UCHAWI, NGUVU ZA GIZA, SIJUWI MAZINGAOMBWE NA NINI NA NINI!
Wacha tufe maskini na imani hizo...
 
Huo mti ulipoanguka mizizi mingi ikiwemo mzizi mkuu haikung'oka ardhini so iliendelea kupeleka maji+chakula kama kawaida na kuchipua.

Sasa kitendo cha kuukata matawi kuliufanya mti kuwa mwepesi na ile bending/inclination angle kuongezeka.
Hivyo upepo mkali ulipovuma kutokea uelekeo wa mti ulipoinamia ikawa kama support ya kuunyanyua tena na ulipofika straight90° uzito ukabalance kotekote ndo maana ukasimama wima.
Hakuna cha maajab wala viashiria vya ushirikina hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…