TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Watu wasiojulikana wamemteka na kumuua kinyama mwalimu wa shule ya Sekondari ya Magufuli High School iliyopo wilayani Chato mkoani Geita.

Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la Cuthbert au BIG alitekwa siku tatu zilizopita baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita.

Juhudi za kumtafuta zilihitimishwa kwa huzuni na simanzi baada ya kukutwa akiwa ameuawa kwa kushambuliwa na vitu vya ncha kali na kunyofolewa baadhi ya viungo vya mwili wake.

Geita, Geita, Geita
 
Geita iwe kanda maalumu pia ipigwe kambi ya kutoa elimu juu imani potofu za kuamini kuwa madini lazima uchawi uuhusike
 
Ipa GeitaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…