TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

Wanamtakia Nini mwalimu, au alijihusisha na siasa??. Hatari sana...au kajiteka kwa zile sababu zinazojulikana
" baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita."
 
Jamii ya watu wa maeneo yale imebadilika. Wapo watu makatili sana. Wnapenda magomvi na kuuana
 
" baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita."
Atakuwa alikuwa na ugomvi na watu, au mtaani yeye peke yake ndio alijikwamua kimaisha...maana binadamu tuna roho mbaya sana na wivu unatusumbua
 
Atakuwa alikuwa na ugomvi na watu, au mtaani yeye peke yake ndio alijikwamua kimaisha...maana binadamu tuna roho mbaya sana na wivu unatusumbua
Alikuwa na maisha mazuri sana,nyumba yake ni ya kisasa sana,biashara za kitimoto ilimtoa sana
 
" baada ya kuharibikiwa na bajaj yake eneo la Samina mkoani Geita."
Samina ni poli ,enzi Za nyuma gari zilikuwa zinatekwa sana hapo,na kutoka katoro kuja geita kwa miaka ya 2002-2008 gari zilikuwa zinasindikizwa na polisi.


Kwa sasa miti imepungua japo sio sana,na walio muua itakuwa wachoma mkaa ,hawa watu ni makatili sana,askali game akijichanganya Huwa wanawaua.
 
Alikuwa na maisha mazuri sana,nyumba yake ni ya kisasa sana,biashara za kitimoto ilimtoa sana
Nakumbuka kuna ndugu yangu mwingine alikuwa mfanyabiashara wa kitimoto...Bwana mdogo kabisa alikuwa na maisha mazuri sana Hadi akawa anasaidia wazazi na ndugu wote...ghafla siku Ile alichelewa kufunga biashara...tukamkuta mtoni ameuawa kando ya mto siku ya pili, Hadi Leo hatujui sababu ni Nini maana alikuwa hana ugomvi na mtu yaani. Haya maisha unaweza usielewi tunaishi ili iweje sijui. Pole yake sana
 
Haka ka mchezo kamekuwa katanu, jina la shule ndo la muasisi wa shughuli hii. Pole ticha Big.
 
Back
Top Bottom