TANZIA Geita: Mwalimu wa Magufuli High School auawa kinyama na wasiojulikana

Marehemu alikuwa anatumia jina moja tu?Au ni Cuth Bert?
 
Subiri wa Tz wazee wa kukurupuka anakutana na habari na anakwambia chanzo cha mauaji, utaskia alitembea na mke wa mtu
 
Wewe unataka serikali ipi?
Mimi nimetoa maoni yangu,kama wewe una maoni bora zaidi au njia bora zaidi ya kudeal na haya matatizo,weka maoni yako hapa utasomeka.
Wewe unadhani hawaoni hawaelewi au unajitia kiherehere na Machozi ya samaki ndani maji??
 
Isije ikawa mambo ya mke wa mtu,maana waume zao wana hasira sana siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…