mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Buhalahala iliyopo halmashauri ya mji wa Geita, Johnson Thomas amekutwa amefariki pembeni ya mto siku sita baada ya kupotea, huku mwili wake ukiwa umetobolewa jicho na kusagwa unyayo.