Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Mariamu Samweli mkazi wa Katoro wilayani Geita kwa tuhuma za kuiba mtoto wa jirani yake aliyejulikana kwa jina la Pendo Adrian mwenye umri wa miezi mitatu kisha kutokomea naye ili kuinusuru ndao yake baada ya kuishi miaka mingi bila kupata mtoto.