Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia Mariamu Samuel ( 21) Mkazi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro Wilayani Geita kwa tuhuma za kumuiba Mtoto Mdogo wa miezi mitatu katika Kijiji cha Marerani Kata ya Ludete Mkoani Geita.

FB_IMG_1645365761317.jpg
 
Geita toka dikteta afe wamekuwa na mambo ya ajabu ajabu sn
Naona wanamtolea kafara bedui na hata thread za bedui haziishi, hawaamini kashasepa wao wanatoa makafara tu.
 
Nadhani kuna hatua za dharura serikali inabidi ichukue ili kuhakikisha mauaji hayatokei kila siku hivi. Inauma sana kupoteza uhai wa mtu
 
Back
Top Bottom