Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Mariamu Samweli mkazi wa Katoro wilayani Geita kwa tuhuma za kuiba mtoto wa jirani yake aliyejulikana kwa jina la Pendo Adrian mwenye umri wa miezi mitatu kisha kutokomea naye ili kuinusuru ndao yake baada ya kuishi miaka mingi bila kupata mtoto.
 
Huko Geita majuzi binti kajiua kisa kuachikaachika na wanaume, leo mwingine kajinyonga kwakuwa ameonekana ana virusi na sasa mtu ameiba mtoto, je mwenye mtoto alikuwa wapi
Mwingine kajinyonga gesti
 
Huko Geita majuzi binti kajiua kisa kuachikaachika na wanaume, leo mwingine kajinyonga kwakuwa ameonekana ana virusi na sasa mtu ameiba mtoto, je mwenye mtoto alikuwa wapi
Kamuiba hospital mara tuu baada ya kuzaliwa, mama mtoto alikua hoi.
Ni mama aliekua anamsaidi ndio inasemakana alimchukua
 
Wengine wanaitafuta ndoa kwa mbinde,wengine wanatoka kwenye ndoa...
 
Huku Geita kuna nini mbona matukio sanaaa!?
 
Geita kuna nini, leo mtoto wa miaka 14 kajinyonga kisa baiskeli ya kwenda shule imeharibika
 
Kamuiba hospital mara tuu baada ya kuzaliwa, mama mtoto alikua hoi.
Ni mama aliekua anamsaidi ndio inasemakana alimchukua
Hizi ni kesi mbili tofauti hata majina ya wezi ni tofauti na watoto ni wa kike na kiume eroo.
 
Aaah wanawake acheni P2 Ili msilee midoli
 
Huyo mtoto amesharudishwa kwa wazazi wake? Pia kwanini asingeenda kuadopt kisheria hadi aibe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…