Geita: Polisi wadaiwa kuua binti kwa risasi

Walenga shabaa wa Policcm ni sheedah angalia ya Sativa, Lissu na hawa mabinti wawili yule wa Kinondoni kwenye msafara wa Chadema na huyu wa Geita.
 
Mwanangu alikuwa amekaa chumbani kwake kitandani (kabla ya kuchungulia dirishani), Mimi nikiwa sebuleni, baada ya vurugu Mwanangu akaja analia huku anavuja damu nikamwangalia nikaona kifua kimetoboka”🥺😭
 
Mwanangu alikuwa amekaa chumbani kwake kitandani (kabla ya kuchungulia dirishani), Mimi nikiwa sebuleni, baada ya vurugu Mwanangu akaja analia huku anavuja damu nikamwangalia nikaona kifua kimetoboka”
Nimejikuta natafakari mengi sana
 
tehteh nawaza wale wanaosema wao wakaw kimya wao wakae ndani na wala wasikemee.binti wa watu risasi imemfata ndani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…