KONK MASTER JF-Expert Member Joined Jan 31, 2023 Posts 1,223 Reaction score 512 Apr 25, 2023 #21 GEITA JITU KUBWA
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 Apr 25, 2023 #22 Nenda GT haraka sana
KONK MASTER JF-Expert Member Joined Jan 31, 2023 Posts 1,223 Reaction score 512 Apr 25, 2023 #23 Asichelewe awahi mapema geita
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Apr 25, 2023 #24 Ndio wanaiita Singapore [emoji3061]
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Apr 26, 2023 #25 ommytk said: Karibuni kwenye mada hii mdau Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo na ukuaji?na mzunguko wa hela kwa wananchi. Click to expand... Ukitaka kufa masikini kaishi singida
ommytk said: Karibuni kwenye mada hii mdau Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo na ukuaji?na mzunguko wa hela kwa wananchi. Click to expand... Ukitaka kufa masikini kaishi singida
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Apr 26, 2023 #26 mhati said: Geita iko vizuri kuliko singida kwa mambo ya biashara ila kimaendelea ya miundo mbinu singida iko juu Click to expand... Miundo mbinu gani maendeleo gani?
mhati said: Geita iko vizuri kuliko singida kwa mambo ya biashara ila kimaendelea ya miundo mbinu singida iko juu Click to expand... Miundo mbinu gani maendeleo gani?
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Apr 26, 2023 #27 Mnyiramba said: Mtaji mkubwa kiasi gani boss!?,hizo tuhuma sio za kweli Click to expand... Singida hakuna nzunguko
Mnyiramba said: Mtaji mkubwa kiasi gani boss!?,hizo tuhuma sio za kweli Click to expand... Singida hakuna nzunguko
Mnyiramba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2022 Posts 1,141 Reaction score 3,119 Apr 28, 2023 #28 25000q said: Singida hakuna nzunguko Click to expand... Hakuna pesa za bure wewe jikaze