#COVID19 Geita: Wanafunzi wakimbia ovyo wakiogopa chanjo, Kaimu Mkurugenzi ataka waelimishwe chanjo ni hiari

Ugumu wangu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2021
Posts
1,685
Reaction score
3,552
Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂

======

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari wakihofia kuchomwa chanjo hiyo.

Maagizo hayo ameyatoa wakati wa zoezi la uzinduzi wa chanjo wilayani humo uliozinduliwa na Mkuu wa wilaya kwenye kituo cha afya Katoro, ambapo amesisitiza kwamba elimu itolewe ili kuondoa hofu kwa watoto na watambue kwamba magari yanayofika mashuleni mwao yanaenda kwa shughuli maalum za ufuatiliaji wa elimu.

Baadhi ya wazazi waliofika kituoni hapo kwa ajili ya kupata chanjo wameelezea sababu zinazopelekea watoto kukimbia waonapo magari mashuleni mwao kwa kusema kwamba elimu wanayopewa na wazazi wao majumbani kwamba chanjo inagandisha damu zao ndiyo imewajengea watoto hao kuwa na hofu.

Chanjo ya corona inayotolewa sasa ya kampuni ya Johnson & Johnson hairuhusiwi kuchanjwa mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 na zoezi lake linafanyika kwa hiari.

Capture.PNG

Chanzo: East Africa Radio
 
Kwani hao watoto ni 50+, wanafanya kazi idara ya afya, au wana magonjwa mengine?
 
Hii ni Tanzania pekee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

======

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari wakihofia kuchomwa chanjo hiyo.

Maagizo hayo ameyatoa wakati wa zoezi la uzinduzi wa chanjo wilayani humo uliozinduliwa na Mkuu wa wilaya kwenye kituo cha afya Katoro, ambapo amesisitiza kwamba elimu itolewe ili kuondoa hofu kwa watoto na watambue kwamba magari yanayofika mashuleni mwao yanaenda kwa shughuli maalum za ufuatiliaji wa elimu.

Baadhi ya wazazi waliofika kituoni hapo kwa ajili ya kupata chanjo wameelezea sababu zinazopelekea watoto kukimbia waonapo magari mashuleni mwao kwa kusema kwamba elimu wanayopewa na wazazi wao majumbani kwamba chanjo inagandisha damu zao ndiyo imewajengea watoto hao kuwa na hofu.

Chanjo ya corona inayotolewa sasa ya kampuni ya Johnson & Johnson hairuhusiwi kuchanjwa mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 na zoezi lake linafanyika kwa hiari.

Chanzo: East Africa Radio

Huyu mama Edith Mpinzile yuko vizuri sana anatakiwa awe DED au DC uongozi wake ni mzuri sana Mh Raisi Samia anatakiwa amuteue
 
Hii ni Tanzania pekee😂😂😂😂

======

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Geita Edith Mpinzile, amewaagiza wazazi, walimu na maafisa elimu kutoa elimu kwa wanafunzi kuwa chanjo ya Corona ni hiari na haitolewi kwao kufuatia vitendo vya wanafunzi kukimbia madarasani kila waonapo gari wakihofia kuchomwa chanjo hiyo.

Maagizo hayo ameyatoa wakati wa zoezi la uzinduzi wa chanjo wilayani humo uliozinduliwa na Mkuu wa wilaya kwenye kituo cha afya Katoro, ambapo amesisitiza kwamba elimu itolewe ili kuondoa hofu kwa watoto na watambue kwamba magari yanayofika mashuleni mwao yanaenda kwa shughuli maalum za ufuatiliaji wa elimu.

Baadhi ya wazazi waliofika kituoni hapo kwa ajili ya kupata chanjo wameelezea sababu zinazopelekea watoto kukimbia waonapo magari mashuleni mwao kwa kusema kwamba elimu wanayopewa na wazazi wao majumbani kwamba chanjo inagandisha damu zao ndiyo imewajengea watoto hao kuwa na hofu.

Chanjo ya corona inayotolewa sasa ya kampuni ya Johnson & Johnson hairuhusiwi kuchanjwa mtu mwenye umri wa chini ya miaka 18 na zoezi lake linafanyika kwa hiari.

Chanzo: East Africa Radio
Lakini hao si chini ya umri wa miaka 18 chanjo haiwahusu
 
Back
Top Bottom