Geita yatangaza uhaba mkubwa wa walimu hasa wa Sayansi na Hisabati

Serikali haina uwezo wa kuajiri hiii porojo tupu
Uchumi hauwezi kwenda kwa kuajiri tuu, lazima Halmashauri zichukue hatua wanazoweza kama kuajiri walimu kwa mikataba kwa mapato yao ya ndani badala ya kuhangaika eti na walemavu na wamama.
 
RC atakuwa mgeni kwenye hii nchi au kwenye takwimu. Hili ni tatizo la nchi nzima, kila RC aliamua atie takwimu za mahitaji ya waalimu mkoani mwake atajiona yeye ni ana nafuu kubwa.
 
zamu ya geita iliishia machi 17... tupo unguja kwa sasa na tanga.

ajira za majuzi ummy na shemdoe walimwaga walimu Wa kutosha kwao kama alivyofanya jaffo kupeleka walimu chato.
 
Hivi mbona mnaziiamini Sana siasa za kwamba walimu wanatosha ilihali mmtengaziwa tu jamaaani

Elimu Bure imesababisha influx ya wanafunzi wengi ilihali influx ya walimu imekuwa ndogo saaa na kucover ongezeko la mapema la wanafunzi
 
Acha mamb yako bhana sio kwel kuwa mwalimu alipata D pale DUCE tumesoma watu kibao wenye ufauli mzur tuu nikiwemo mimi na A
Achana naye huyo amekariri. Ni miongoni mwa vilaza ambao bado wameshikilia mentality ya kudhani mwalimu ni mtu aliyefeli lakini ukimwambia aweke matokeo yake mezani kulinganisha ufaulu anatoka nduki
 
Nawasalimu kwa jina divided republic of Tanzania nanyi mnajibu uzembe uendelee!!
 
Ummy Mwalimu ni muongo sana..

Wamfufue meko ndio awafundishe kua kipimo cha corona kinapima oil na papai,huko hawaitaji kujua sayansi wao ni kuloga na kuuana
 
Kama walimu wa sayansi wameisha si muwaajiri madaktari ma wafamasia wakafundishe
Nadhani shida Bajeti.Walimu wapo wamejishikiza praivetini huku.Ingawa hata wakiajiriwa wote wa Sayansi na Hisabati bado upungufu utakuwepo tu.Ok dear students in case you want to know me,I'm actually a teacher of very hard subjects.Very hard.Are we together?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Bila kuishinikiza serikali kuajiri, suala la uhaba wa walimu wa sayansi litaendelea kuwa tatizo alafu kwanini tozo za miamala zinazokusanywa zisielekezwe kuondoa hili tatizo?
Nadhani labda zije tozo nyingine.Hizi si tumeambiwa kwa ajili ya mabarabara bush huko?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani labda zije tozo nyingine.Hizi si tumeambiwa kwa ajili ya mabarabara bush huko?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Pesa inayokusanywa ni nyingi mno inaweza kufanya mambo yote mawili kwa wakati mmoja. Na kumbuka hapo tozo peke yake hatujagusia kodi za kawaida zinazotokana na rasmali tulizonazo na zinazokusanywa kwa wananchi kila siku
 
Vipi kuhusu deni letu la Trilioni 71.Hili huwa tunalirejeshaje?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…