GELMANA MUNG'AHO-Afsa Elimu ILALA secondary!

GELMANA MUNG'AHO-Afsa Elimu ILALA secondary!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
kwanza kabisa kwa wasiomjua!
Huyu mama nasikia kwa sas amehamishiwa KIBAHA KWA BARUA MAARUM TOKA IKULU!....NAPONGEZA SANA KWA HATUA HIYO KWANI NI MUDA MREFU KUPANGUA KILA ALIPOTAKIWA KUHAMA ILALA...sasa hatukujua ninini tatizo ila sasa tetesi ni kwamba kakubari yaishe!
Ni masikitiko yangu kwamba anaondoka hapo kukiwa na malalamiko mengi sana ya walimu kuhusu malimbikizo yako NAULI,MALIMBIKIZO YA PESA BADA YA KUBADILISHIWA MISHAHARA NA MENGINEO! sio kwamba alikuwa hasikii kilio cha walimu waliokuwa wanashinda ofisini kwake ila alikuwa na uwezo wa kuuliza ninyi walimu kwa nini mnakuja huku kufuatilia madai yenu na darasani mnamuachia nani?....au mje kesho leo naumwa mafua sauti haitoki....au mnanisema sana kwa wakubwa zangu sasa tutaona..mara mafaili hayaonekani.....mara ivi...kiukweli walimu wa ilala secondary hata wafanyakazi wa kawaida walikuwa kwenye tanuru la moto kwa mama huyu!ilikuwa hata ikitokea mtu una shida ya kwenda kumuona ili aweze kumsaidia kitu ilikuwa anajishaurije niende kwa staili gani..mana majibu yake kama mtumishi wa UMMA HAYAKUWA MAZURI NA WALIMU KUBAKI WAKILIA PASIPO MSAADA MANA HATA WANGEENDA NGAZI ZA JUU ILIKUWA kama hakuna kinachoendelea a aliweza kuendelea kama kawaida na tabia aliyoona inafaa.
Mungu ni mkubwa huenda sasa walimu wa ILALA SECONDARY wkapata ahueni kwa mgeni aliyekuja ili aweze hata kuwaharakishia malimbikizo yaliyokwamia mikononi mwa yule mama...Hakika mbaya wa mwalimu ni mwalimu mwenzake mana mama huyu nae alikuwa ni mwalimu!...na bila kusahau asliwai hatA KUWAFUTIA MISHAHARA BAADHI YA walimu alioona wanamfatilia au kukaidi maagizo yake!...tunamuombea heri huko aendako ila awe macho kwani bado walimu wa secondary ilala wanadai na yeye do aliyekuwa anachelewesha ilihali pesa zipo na budget ya serikali ilishapitisha!
 
Back
Top Bottom