Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June.

Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima.

They are so proud ( wajivuni kupita kiasi)

They have got the most biggest egos in the universe.

Wana Amini wao ni bora Kuliko mtu yoyote yule duniani.

Wanajifanya wanajua ( much knows) pengine Kuliko mtu yoyote duniani.

They are arrogance

Unapo zungumzia watu WA nyota ya Mapacha unazungumzia watu kama vile :

1. Donald Trump.

2. Kanye West.

3. Pac and Biggie.

4. TID

5. Lady Jay Dee.

6. Giggy Money. etc.

Wote hawa wana sifa kuu zinazo fanana.

They are so proud/ they have big egos, they are so arrogant etc.

Mimi pia ni Gemini. Nina Amini Mimi ndio kiumbe wa Mwenyezi Mungu mwenye ego kuu Kuliko kiumbe yoyote yule duniani. Not even Lucifer can beat me.

Nina Amini katika viumbe wote wa Mwenyezi Mungu Mimi ndio kiumbe wake bora Kuliko yoyote yule.

Nina Amini ukimuondoa Mwenyezi Mungu, Hakuna kiumbe yoyote yule awe jini au Malaika whichever come first ambae yupo juu kuzidi Mimi.

Nimeishi na dhana hii tangu utoto wangu.

Sababu kuu iliyo nifanya nikache Dini niliyo irithi Kwa wazazi wangu ni kuji assess na kugundua kwamba Hakuna mahali popote kwenye Holy Qur'aan, Taurati, Zaburi ama Injili ambayo inasimama na Mimi.

Kwa mfano Qur'aan na Bible Zina sema Mariam mama wa Yesu ndio mama bora Alie barilkiwa Kuliko wanawake wote duniani ila Mimi ndani ya nafsi yangu Nina Amini mama yangu mzazi alonizaa ndio mama bora kabisa duniani tangu dunia iumbwe.

Nimejaribu Ku surpress my ego but all in vain. Nothing on earth can ever make me to swallow my pride . Nimeamua kuishi my pride .

Nyie wenzangu mmefanyaje au mnafanyaje?.


N.b: Nilijiunga JF mwaka 2012 kama njia moja wapo ya kufanya therapy to put my Ego on the line Kwa sababu in real life I don't engage with people they way I am doing here.

Imenisaidia Kwa kiasi chake Kwa sababu at least naweza kujibizana na watu hapa.

Hata ninapo andika threads za kuwasifu watu hapa jf huwa nafanya therapy ya kudeal with my ego Kwa sababu in real life I don't talk about people and I don't talk to people cause I don't know anything that me and them can talk about.

Nikinywa wine huwa ina saidia kusurpress my ego at a moment. Naweza kumpigia mtu simu etc but kesho Yake I will blame my self
 
Kuamini mambo ya nyota sijui mbuzi kondoo , nge huo ni ujuha na uwendawazimu
Kilicho nifanya niamini ni huo ufanano wa tabia zetu. Hata Humu JF kuna kipindi Kuna watu walikuwa wana Amini Mimi na Mshana Jr ni Id moja. Nakuja kugundua kumbe Mimi na Mwamba mshana tuna share the same birthday kasoro miaka
 
Back
Top Bottom