Gemu ya Simba na Horoya ilikuwa na mambo mengi ya kufikirisha sana

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi.

Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya Sandakalawe penalti, free kick mara beki za horoya zimepoteza mpira kizembe, mara kipa katema...nk sikuona shambulizi lolote la maana lililopangwa likapangika la Simba tofauti na jinsi Yanga inavyotafuta magoli.

Simba walikua na usaidizi wa refa ukiangalia uchezeshaji wa refa ulikua wa upande mmoja alikua akiua Movement nyingi za Horoya kwa kupuliza filimbi huku akiacha za Simba hata kama ni offside.

Sio kwamba Simba walikua bora hii mechi ilichezwa nje ya uwanja either bahasha ya khaki ilitembea au mambo ya kiswahili kwani Simba ndio mafundi wa hizo tabia ref kule South Afrika hawakuona tabu kutaka kuchoma kiwanja cha watu pia kwenye ishu za Bahasha ni mafundi pia ref kesi ya Kabwili na ile ya ulimboka Mwakingwe au walicheza na makipa wa Horoya au walifanya yote kwa pamoja.

Ila sasa wanavyojitamba huku kitaa utadhani walipiga mpira mkubwa kivile la hasha waswahili wanasema yalikua magoli ya piga nikupige tofauti na Yanga unaona kabisa Movement ball inatoka kwa Mayele inatembea kwa Musonda then Kamba.Kushinda kwa Simba kuna mambo mengi sana ya kufikirsha kwani wana kona kona nyingi sana.
 
Mtoa mada huo mwiko huko nyuma km unaumaa, chomooa uweke hata Dildo, utakuja utoboke mtumbo mpanaa bureee.

Poleeeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jipige kifua mara 3 huku ukisema kwa ujinga huu hakika Rage hakukosea kutupa lile jinaa kwa hoja zako ndio zimefika tamati hapo boss
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km umeumia lia kimya kimyaa.
 
Nimeangalia kwa umakini gemu ya Simba na Horoya huku Simba akiibuka na ushindi wa mchongo wa goli 7 ndio nasema ni ushindi wa mchongo kwa sababu kama hizi.

Magoli mengi ya Simba yalikua magoli ya Sandakalawe penalti, free kick mara beki za horoya zimepoteza mpira kizembe, mara kipa katema...nk sikuona shambulizi lolote la maana lililopangwa likapangika la Simba tofauti na jinsi Yanga inavyotafuta magoli.

Simba walikua na usaidizi wa refa ukiangalia uchezeshaji wa refa ulikua wa upande mmoja alikua akiua Movement nyingi za Horoya kwa kupuliza filimbi huku akiacha za Simba hata kama ni offside.

Sio kwamba Simba walikua bora hii mechi ilichezwa nje ya uwanja either bahasha ya khaki ilitembea au mambo ya kiswahili kwani Simba ndio mafundi wa hizo tabia ref kule South Afrika hawakuona tabu kutaka kuchoma kiwanja cha watu pia kwenye ishu za Bahasha ni mafundi pia ref kesi ya Kabwili na ile ya ulimboka Mwakingwe au walicheza na makipa wa Horoya au walifanya yote kwa pamoja.

Ila sasa wanavyojitamba huku kitaa utadhani walipiga mpira mkubwa kivile la hasha waswahili wanasema yalikua magoli ya piga nikupige tofauti na Yanga unaona kabisa Movement ball inatoka kwa Mayele inatembea kwa Musonda then Kamba.Kushinda kwa Simba kuna mambo mengi sana ya kufikirsha kwani wana kona kona nyingi sana.
Kama 7 zilikuuma nenda kaseme kwa mama yako nyumbani 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom