Gen. Makenga, kamanda mkuu wa M23 amerudi DRC kuongoza mashambulizi

Hivi vita vya DRC huwa naona ni siasa za kupotezeana muda tu.

EAC kupeleka jeshi ni kupoteza muda,pesa na human resources.

Haya makundi yakizidiwa yanaenda kwenye meza ya mazungumzo kutafuta suluhu ikiwemo wapiganaji wao kuandikishwa kwenye jeshi la taifa.

Wanaasi tena baada kupata uzoefu na silaha,wanaanza tena upya.
 
Rwanda anatakua na backup ya mabwana wakubwa sio bure.

#MaendeleoHayanaChama
Ni lazima awe nao wa kutosha kwa vile anafanya vita kama biashara ya kuinua uchumi wa mchi yake.

Vita DRC ndio uhai wa Rwanda kiuchumi (wizi wa madini).
 
Huwa kuna watu (nchi) wapo nyuma yao wameshika remote, hivyo maslahi yao yakiguswa wanawatumia kuanzisha uasi na wakipatana wanawatuliza, hivyo hao wapiganaji wanatumika tu.
 
Hahahahaha huyu mwamba ameshutumiwa kufa toka enzi zile za JK akiwa madarakan ila bado anadunda.

Anaonekana mapambano yakianza tu huwa faster anasepa kurudi rwanda.
Umesikia taarifa huko?
 
Kagame na Museveni ndio matatizo makubwa hapa East Africa.
M23 walikimbilia Uganda baada ya kutimuliwa na "UN". Kwahiyo wametokea Uganda. Amani ya Congo ipo mikononi mwa wakongo na majirani zake. PK na m7 ni wahuni.
 
M23 walikimbilia Uganda baada ya kutimuliwa na "UN". Kwahiyo wametokea Uganda. Amani ya Congo ipo mikononi mwa wakongo na majirani zake. PK na m7 ni wahuni.
Ni washenzi wale watu wawili... natamani sana wapotee kabisa hapa EA.
 
Huyu jamaa Mara ya mwisho nakumbuka alikamatwa akapelekwa Rwanda enzi zile M23 inasambazwa. Au zilikuwa tuhuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…