Gen.Muhoozi: Hakuna Raia Atawahi Kuwa Rais Uganda

Maraisi wote Waliopita wa UG walikua wanajeshi, Tafsiri yake, mrithi wa mseven lazima atokee jeshini.
Kwani Obote,Binaisa,Muwanga walikua wana jeshi.Huyu Mhima naona anaiona Uganda kama mali ya familia
 
Nchi ya ovyo sana, wanajeshi kila sehemu, roadblock kila mita mia, sehemu, walinzi wote wana mabunduki.

Uganda ni "open prison"
 
Nchi ya ovyo sana, wanajeshi kila sehemu, roadblock kila mita mia, sehemu, walinzi wote wana mabunduki.

Uganda ni "open prison"
May be it because of the past bad History. Lakini ata kwa wenzetu huko USA hiko hivyo. Uganda bunduki nika fimbo za kimasai
 
Hao wanajeshi na polisi ni raia wa nchi gani?!
 
Bongo tunashida zetu ila wenzetu wana hali mbaya sana kidemocrasia isee..
Mtu ambaye anawaza sana kwa sasa ni kagame hii muhoozi ikishika madaraka itasumbua sana E.A.
 
Sasa huwa wanafanya uchaguzi wa nini....si kupoteza tu raslimali za nchi..!!??
 
Amekunywa zake LUBISI anaanza kuropoka OVYO OVYO.

Anajikutaga ANORD, CHEKI NORRIS,JOHN CENA AMA RAMBO

WAGANDA WANA AKILI SANA SANAA ILA WAMESHINDWA KUMTOA MZEE WAKE akijiita "KOTAPINI" nchi inaendeshwa Kama Mali yao binafsi.

Huyo dogo atawasumbua Sana asipo zibitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ