Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Obote,Binaisa,Muwanga walikua wana jeshi.Huyu Mhima naona anaiona Uganda kama mali ya familiaMaraisi wote Waliopita wa UG walikua wanajeshi, Tafsiri yake, mrithi wa mseven lazima atokee jeshini.
May be it because of the past bad History. Lakini ata kwa wenzetu huko USA hiko hivyo. Uganda bunduki nika fimbo za kimasaiNchi ya ovyo sana, wanajeshi kila sehemu, roadblock kila mita mia, sehemu, walinzi wote wana mabunduki.
Uganda ni "open prison"
Hao wanajeshi na polisi ni raia wa nchi gani?!My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa nchi hiyo.
Muhoozi, ambaye amesema hatagombea urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2026, ameandika ujumbe huo kwenye mtandao wa X kwamba wanajeshi hawataruhusu raia kuongoza Uganda.
“Hakuna raia ataongoza Uganda baada ya Rais Yoweri Museveni. Maafisa wa usalama hawataruhusu hilo kutokea. Rais ajaye atakuwa mwanajeshi au afisa wa polisi,” ameandika Muhoozi.
Bongo tunashida zetu ila wenzetu wana hali mbaya sana kidemocrasia isee..My Take
Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇
Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa nchi hiyo.
Muhoozi, ambaye amesema hatagombea urais katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2026, ameandika ujumbe huo kwenye mtandao wa X kwamba wanajeshi hawataruhusu raia kuongoza Uganda.
“Hakuna raia ataongoza Uganda baada ya Rais Yoweri Museveni. Maafisa wa usalama hawataruhusu hilo kutokea. Rais ajaye atakuwa mwanajeshi au afisa wa polisi,” ameandika Muhoozi.
Amekunywa zake LUBISI anaanza kuropoka OVYO OVYO.My Take