GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni..

malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani, yote haya yakiwa maandalizi ya kujiweka sana na jukumu zito sana ambalo anatarajiwa kukabidhiwa na wananchi wa Uganda...

ni muda sasa waganda wamekua na malalamiko ya kwamba Rais wao ni Mzee sana anafaa kupumzika na kupisha vijana. kilio amekisia, na hivi karibuni katika muda usiokua mrefu, Museven kuna kila dalili ataachia jukumu la uongozi wa Nchi kwa kijana makini, madhubuti mwenye maono na aina mpya ya mawazo ya kuingoza Uganda.

Gen.Muhozi Kainerugaba ndie kiongozi mpya wa Uganda mtarajiwa...

Uganda ina vyama vya siasa 27, kati ya hivyo 7 pekee ndivyo vyenye uwakilishi bungeni,
National Resistance Movement (NRM) ndiyo chama tawala nchini uganda kikiongozwa na ndugu Yoweri Kaguta Museven ambae ndie Rais wa sasa wa Taifa hilo la Africa Mashariki..

Je,
kama hali itakua hivyo, nafasi ya vijana upinzani mathalan, kiongozi wa chama cha National Unit Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu na washirika wake upinzani Uganda iko wapi?

au Upinzani Uganda bado uko vile vile dispirited and various kama mwenyekiti wa zamani wa chama cha Forum for Democratic Change, (FDC) Dr.Kizza Besigye anavyoamini?

Robert Kyagulanyi Ssentamu ang'ang'ane na kuusaka urais, au arejee bungeni tu kujipanga upya ? 🐒
 
'North Korea of Africa.'

Nothing new.
 
Robert Kyagulanyi Ssentamu ang'ang'ane na kuusaka urais, au arejee bungeni tu kujipanga upya ? [emoji205]
Kwa mara ya kwanza Uganda itapata kiongozi wa hovyo kuwahi tokea.
Yawezekana ikawa bora y hata Idiamini Dada
 
Nilisikia genera Bantariza akisema.
'that boy will never be president of Uganda.
sina uhakika kama maneno yake yatatimia...

lakini nadhani huyo muungwana alisha R. I. P
alipata misukosuko kiasi ila ya maana kidogo 🐒
 
Kauli gani kwa mfano?
Gen.Muhozi Kainerugaba to Kenyans..

"It wouldn't take us, my army and me, 2 weeks to capture Nairobi" 🐒

"After capturing Nairobi, I shall take my wife on tour, of our district "🐒
 
Kwa mara ya kwanza Uganda itapata kiongozi wa hovyo kuwahi tokea.
Yawezekana ikawa bora y hata Idiamini Dada
sifahamu,
wacha tusubiri tone vijanaa wanaipelekaje Africa Mashariki 🐒
 
Kwa mara ya kwanza Uganda itapata kiongozi wa hovyo kuwahi tokea.
Yawezekana ikawa bora y hata Idiamini Dada
Upo sahihi jamaa sio km baba yake kiufupi waganda watalamba hasara ya kwetu na huyu chura itakuwa nafuu walau tuna marafiki waarabu
 
kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni..

malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani, yote haya yakiwa maandalizi ya kujiweka sana na jukumu zito sana ambalo anatarajiwa kukabidhiwa na wananchi wa Uganda...

ni muda sasa waganda wamekua na malalamiko ya kwamba Rais wao ni Mzee sana anafaa kupumzika na kupisha vijana. kilio amekisia, na hivi karibuni katika muda usiokua mrefu, Museven kuna kila dalili ataachia jukumu la uongozi wa Nchi kwa kijana makini, madhubuti mwenye maono na aina mpya ya mawazo ya kuingoza Uganda.

Gen.Muhozi Kainerugaba ndie kiongozi mpya wa Uganda mtarajiwa...

Uganda ina vyama vya siasa 27, kati ya hivyo 7 pekee ndivyo vyenye uwakilishi bungeni,
National Resistance Movement (NRM) ndiyo chama tawala nchini uganda kikiongozwa na ndugu Yoweri Kaguta Museven ambae ndie Rais wa sasa wa Taifa hilo la Africa Mashariki..

Je,
kama hali itakua hivyo, nafasi ya vijana upinzani mathalan, kiongozi wa chama cha National Unit Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu na washirika wake upinzani Uganda iko wapi?

au Upinzani Uganda bado uko vile vile dispirited and various kama mwenyekiti wa zamani wa chama cha Forum for Democratic Change, (FDC) Dr.Kizza Besigye anavyoamini?

Robert Kyagulanyi Ssentamu ang'ang'ane na kuusaka urais, au arejee bungeni tu kujipanga upya ? 🐒
Ngoja nicheke na ninyamaze zangu tu.
 
Back
Top Bottom