GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

Kosa kubwa atakalofanya M7 Ni kumridhisha mwanawe madaraka. That boy is not state house material. Kwanza angalia anavyobwatuka off point.
 
Kosa kubwa atakalofanya M7 Ni kumridhisha mwanawe madaraka. That boy is not state house material. Kwanza angalia anavyobwatuka off point.
ni kwasababu hana majukumu mazito yenye pressure, akiwa Rais atanyooka mbona 🐒
 
Sidhani kama upo uwezekano wa huyo mtu kubadilika kitabia
tunajifunza kwa rafiki yangu Dr William Samoe Ruto, kwamba ahadi lukuki unaweza zitoa ukiwa nje ya mamlaka, lakini ukiwa ndani ya serikali mambo ni tofauti, ukizembea unaweza kuangukia pua hata kama sijui wewe ni nani 🐒🐒
 
Back
Top Bottom