YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
“We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine.
==============
Urusi ilipeleka askari professional walioiva vizuri sana mwanzoni mwa vita mwezi February. Kwa agenda moja kwanza kuonyesha nguvu za kijeshi za Urusi kwa dunia na pili kuteka Ukraine na mji mkuu Kyiv na Raisi Zelensnkyy ndani ya masa 72 tu
Askari mahiri waliuawa kama kuku wa mdondo na jeshi Shupavu la Ukraine wakauawa maelfu wachache waliobakia wakafunga virago kuwa wanaenda kupigana Donbass !! Kumbe wamexidiwa
Donbass walikoenda mmarekani Mungu ambariki akaisaidia Ukraine makombora ya Himars, Yamewabomoa hao Askari Proffessionals hadi wamebaki wachache wengi wamerudishwa Russia ili nchi isibaki tupu bila Askari Proffessionals!! Ndio.maana unaona wanakimbia na kutelekeza vifaa vya kijeshi vizima kabisa
Sasa hivi Urusi wanapeleka vijana waliopitia JKT. (CONSCRIPTS) kwenda kupigana ambao ni unprofessional.
MRUSI KAISHIWA STOCK YA PROFFESSIONAL SOLDERS !! Iko minimum kwenye re order level!! ndio ana replace na un Proffessional soldiers watoto waliopitia JKT!!! Kichekesho cha Mwaka huwezi replace professional na unprofessional!! PUTIN KACHANGANYIKIWA