Gen. Valerii Zaluzhny: It’s time to defeat unprofessional Russian army

Gen. Valerii Zaluzhny: It’s time to defeat unprofessional Russian army

Yeye Putin ndie anapelekewa moto

Anatishia nyukilia mjinga yule Nani asiye na nyukilia? Ulaya nchi zote zina nyukilia akilianzisha wanalianzisha
Labda kama wewe ndo unampelekea moto kwenye Keyboard.....kiuhalisia Ukraine kashindwa kurudisha majimbo yake yaliyomikononi mwa Urusi....15% of the land..ikifika ijumaa itakuwa imepotea lasmi
 
Katika vita hakuna udhaifu mbaya kama kuwa tegemezi kwa kupewa silaha na fedha! Utasaidiwa kwa kiwango fulani na kwa wakati fulani!
Msaada wa kivita kwa Ukraine ni endelevu haukomi leo wala Kesho kukomesha sera za Russia za expansionist za kuvamia nchi za watu na kupora maeneo kama enzi za mawe za machifu waliokuwa wakivamia na kuteka maeneo ya watu wengine

Misaada ya kivita itaendelea after all Marekani na NATO wana misilaha kibao imejazana kwenye maghala Haina pa kutumika wamepata pa kutumia kulenga na kubomoa vichwa vya Askari wa kirusi walioingia kichwa kichwani vita isiyo na kichwa wala miguu
 
Katika vita hakuna udhaifu mbaya kama kuwa tegemezi kwa kupewa silaha na fedha! Utasaidiwa kwa kiwango fulani na kwa wakati fulani!
Mara nyingi adui mjinga hutumia silaha kwa pupa hasa pale unapompa fake retreat/surrender!
Mbinu hii hutumika ili adui afunguke siri zote alafu ndio unampiga kwa mshangao! Nina wasiwasi kinachofuata kievu inakwenda kupigwa pigo baya ili kung’oa kitovu cha mapokezi na mikakati
Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?
Wamepitisha Sheria ya kuto kusarenda ( 10 years imprisonment for surrender) kumlaghai adui?
 
Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?
Wamepitisha Sheria ya kuto kusarenda ( 10 years imprisonment for surrender) kumlaghai adui?
Hapo sasa!!!
Askari wa kirusi wanakimbia wanaacha vifaru vipya na makombora ya masafa na ma launcher yake intact mapya wala sio used na kutoroka hadi kwa baiskeli au miguu

Wakiona Himars, kombora la mmarekani laelekea upande wao
 
Kwe
Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?
Wamepitisha Sheria ya kuto kusarenda ( 10 years imprisonment for surrender) kumlaghai adui?
wakati wa vita unatakiwa uwe makini sana na habari anazotangaza hasimu wako! Mara nyingi ni mtego wenye mkakati mbaya sana!
Kurudi nyuma vitani ama kukimbia hutakiwi kukurupuka kumkimbilia adui anapoelekea nayo huwa ni mbinu dhaifu ila hutumika baada ya adui kuona una munkari hivyo umeshapoteza umakini , hivyo ana kupeleka sehemu atakayokuchapa vizuri na utakuwa umeshapungukiwa na zana!
Vita ni akili, ubunifu wa papo kwa hapo! Ukiwa na jazba vitani umekwisha! Nachoona ukraine wana jazba na munkari!
 
Uchaguzi gani usiopigwa vituo vya kupitia kura? Donbass na Luhansk?

Askari mwenye bunduki anakuja na Askari mwenzie aliyevaa kiraia kabeba kinachoitwa box la kupigia kura unagongewa mlango halafu unaambiwa piga kura kujiunga na Urusi au la !! Halafu box wanaondoka nalo baadaye watatangaza matokeo huko gizani walikotokomea na hilo box!!!

Hiyo sio kura ni usanii wa Putin tena wa kitoto
Wacha weee ..... Kwa hiyo na wale waangalizi nao wanatembea na mabox na Askari si ndio!
 
Msaada wa kivita kwa Ukraine ni endelevu haukomi leo wala Kesho kukomesha sera za Russia za expansionist za kuvamia nchi za watu na kupora maeneo kama enzi za mawe za machifu waliokuwa wakivamia na kuteka maeneo ya watu wengine

Misaada ya kivita itaendelea after all Marekani na NATO wana misilaha kibao imejazana kwenye maghala Haina pa kutumika wamepata pa kutumia kulenga na kabomoa vichwa vya Askari wa kirusi waluoingia kichwa kichwani vita isiyo na kichwa wala miguu
Kuvamia na kuteka maeneo bado kupo saana tu duniani, na ndio maana ya vita duniani! Mfano mzuri tu labda marekani ingeisaidia Republic of Ireland silaha ili waikomboe ardhi yao inayomilikiwa na uingereza ambayo ni northern ireland!
Au nao wasingeivamia Libya wakaifanya ilivyo sasa! Au wasingeibania Zimbabwe kisa tu walinyakua ardhi za wazawa!
Tatizo hapa ni ulimbukeni wa raisi wa Ukraine, angeungana na Russia kutokomeza wale manazi wanaotesa raia wenye asili ya Russia wangekaa kwa amani! Sasa ardhi wananyang’anywa inakuwa mali ya Russia na hapa ndio tutashuhudia vita nzito kama ukraine ataamua kuingia mule!
 
Back
Top Bottom