Labda kama wewe ndo unampelekea moto kwenye Keyboard.....kiuhalisia Ukraine kashindwa kurudisha majimbo yake yaliyomikononi mwa Urusi....15% of the land..ikifika ijumaa itakuwa imepotea lasmiYeye Putin ndie anapelekewa moto
Anatishia nyukilia mjinga yule Nani asiye na nyukilia? Ulaya nchi zote zina nyukilia akilianzisha wanalianzisha
Msaada wa kivita kwa Ukraine ni endelevu haukomi leo wala Kesho kukomesha sera za Russia za expansionist za kuvamia nchi za watu na kupora maeneo kama enzi za mawe za machifu waliokuwa wakivamia na kuteka maeneo ya watu wengineKatika vita hakuna udhaifu mbaya kama kuwa tegemezi kwa kupewa silaha na fedha! Utasaidiwa kwa kiwango fulani na kwa wakati fulani!
Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?Katika vita hakuna udhaifu mbaya kama kuwa tegemezi kwa kupewa silaha na fedha! Utasaidiwa kwa kiwango fulani na kwa wakati fulani!
Mara nyingi adui mjinga hutumia silaha kwa pupa hasa pale unapompa fake retreat/surrender!
Mbinu hii hutumika ili adui afunguke siri zote alafu ndio unampiga kwa mshangao! Nina wasiwasi kinachofuata kievu inakwenda kupigwa pigo baya ili kung’oa kitovu cha mapokezi na mikakati
Kakutana na wenye akiliHivi Putin ana asili ya mtz au aliishawahi kifika huku tz..??...mbona mburula hivyo kama viongozi wa tz
Hapo sasa!!!Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?
Wamepitisha Sheria ya kuto kusarenda ( 10 years imprisonment for surrender) kumlaghai adui?
😅😅😅Kakutana na wenye akili
wakati wa vita unatakiwa uwe makini sana na habari anazotangaza hasimu wako! Mara nyingi ni mtego wenye mkakati mbaya sana!Kwa hiyo waliacha shehena za silaha kumlaghai adui?
Wamepitisha Sheria ya kuto kusarenda ( 10 years imprisonment for surrender) kumlaghai adui?
Wacha weee ..... Kwa hiyo na wale waangalizi nao wanatembea na mabox na Askari si ndio!Uchaguzi gani usiopigwa vituo vya kupitia kura? Donbass na Luhansk?
Askari mwenye bunduki anakuja na Askari mwenzie aliyevaa kiraia kabeba kinachoitwa box la kupigia kura unagongewa mlango halafu unaambiwa piga kura kujiunga na Urusi au la !! Halafu box wanaondoka nalo baadaye watatangaza matokeo huko gizani walikotokomea na hilo box!!!
Hiyo sio kura ni usanii wa Putin tena wa kitoto
Kuvamia na kuteka maeneo bado kupo saana tu duniani, na ndio maana ya vita duniani! Mfano mzuri tu labda marekani ingeisaidia Republic of Ireland silaha ili waikomboe ardhi yao inayomilikiwa na uingereza ambayo ni northern ireland!Msaada wa kivita kwa Ukraine ni endelevu haukomi leo wala Kesho kukomesha sera za Russia za expansionist za kuvamia nchi za watu na kupora maeneo kama enzi za mawe za machifu waliokuwa wakivamia na kuteka maeneo ya watu wengine
Misaada ya kivita itaendelea after all Marekani na NATO wana misilaha kibao imejazana kwenye maghala Haina pa kutumika wamepata pa kutumia kulenga na kabomoa vichwa vya Askari wa kirusi waluoingia kichwa kichwani vita isiyo na kichwa wala miguu