Gen Z hii Finance bill mmechelewa, subirini mwakani

Misri 2011 maandamano yalianza kimzaha mzaha Tahrir square ,watu wakasema Hosni Mubarak ni very powerful na jeshi linamtii..

Wanajeshi wakawa deployed mwisho wa siku wanajeshi walizidiwa na nguvu ya umma nao wakaamua kuungana na raia ndio ukawa mwisho wa Mubarak.

Hivyo mleta mada nikukumbushe usiidharau nguvu ya umma!
 
Na nini kilichobadilika zaidi ya kumwagika damu nyingi za watu? Mubarak aliondoka wakaingia Ikhwanul Muslimiin wakapinduliwa mwaka 2013 na damu nyingi zaidi ikamwagika akarudi al-Sisi
 
Misri 2011 maandamano yalianza kimzaha mzaha Tahrir square ,watu wakasema Hosni Mubarak ni very powerful na jeshi linamtii..

Wanajeshi wakawa deployed mwisho wa siku wanajeshi walizidiwa na nguvu ya umma nao wakaamua kuungana na raia ndio ukawa mwisho wa Mubarak.

Hivyo mleta mada nikukumbushe usiidharau nguvu ya umma!
Nguvu ya wahuni. Sio umma
 
Back
Top Bottom