sijaona cha kuwashindanisha, nadhani kiongozi wao amekua muungwana kupitiliza ni muhimu wakaitumia hii kama fursa ya kuweka mawazo yao pamoja, wasichukue kama advantage ya kudeka na kufanya uharibifu zaidi, hakuna atakaefaidika miongoni mwao kwenye nchi yao, Libya na Sudan wanawasikitikia sana wakenya 🐒
..ndio nashauri Ruto asimuige " chura kiziwi " kupuuza madai ya waandamanaji.
..waswahili tuna msemo, " bahati ya mwenzao usiilalie mlango wazi. "
..Ruto asifikiri kwasababu Samia anapuuza vilio vya wananchi na yuko salama, basi Ruto naye anaweza kufuata mfano huo.
..Watanzania ni wapole. Wakenya sio wapole.
..Nasisitiza Ruto asipotimiza matakwa ya Gen-Z asije akashangaa wamemvamia sebuleni kwake.