Gen Z Kenya, mtaka yote kwa pupa hukosa yote; mihemko siyo dili kwenye mapambano

..ndio nashauri Ruto asimuige " chura kiziwi " kupuuza madai ya waandamanaji.

..waswahili tuna msemo, " bahati ya mwenzao usiilalie mlango wazi. "

..Ruto asifikiri kwasababu Samia anapuuza vilio vya wananchi na yuko salama, basi Ruto naye anaweza kufuata mfano huo.

..Watanzania ni wapole. Wakenya sio wapole.

..Nasisitiza Ruto asipotimiza matakwa ya Gen-Z asije akashangaa wamemvamia sebuleni kwake.
 
waTanzania hadi watakapoacha mihemko na matusi miaka elfu2 ijayo ndio yatafanyika maandamano makubwa yenye tija, vinginevyo itakua jogging tu kama kawaida mitusi mwanzo mwisho πŸ’
 
waTanzania hadi watakapoacha mihemko na matusi miaka elfu2 ijayo ndio yatafanyika maandamano makubwa yenye tija, vinginevyo itakua jogging tu kama kawaida mitusi mwanzo mwisho πŸ’

..ndio maana nasema Ruto asimuige Samia ktk kudili na maandamano.
 
..ndio maana nasema Ruto asimuige Samia ktk kudili na maandamano.
hakuna uhusiano,
nadhani gnZ ndio wanaiga mihemko na ghadhabu za waTanzania zitakazowapelekea kuangukia pua πŸ’
 
waTanzania hadi watakapoacha mihemko na matusi miaka elfu2 ijayo ndio yatafanyika maandamano makubwa yenye tija, vinginevyo itakua jogging tu kama kawaida mitusi mwanzo mwisho πŸ’
Tanzania ni kichaka tu chenye nyasi....iliyokauka kikisubiria mtu akimwagie petrol tu.....
Bora hata hao wakenya wanakiamsha badaye wanatulia baada ya kukaa mezani
Tanzania watu wanalalamika moyoni tu

Ova
 
Umeandika kwa hofu na uoga mwingi sana.Kwani unogopa nini sasa?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…