Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
Sisi ordinary citizens hatuna issue na Gen Z Kenyans. Wao watukane tu huyo Chura Kiziwi. Kila tusi walijualo. She’s our common archenemy!View attachment 3345889
Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
Wakianza kurushiana mitusi na wajinga si wote wataonekana ni wajinga?Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
mtu ambae akiandamana anavaa sufuria kichwani kudai unga ikulu badala ya kufanya kazi ya kilimo kwa bidii shambani, unadhani anaweza nini zaidi ya kuporomosha matusi tu gentleman?View attachment 3345889
Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
Kimya cha Watanzania maana yake tunakubaliana na matusi anayotukanwa Samia.View attachment 3345889
Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
Kimya cha Watanzania maana yake tunakubaliana na matusi anayotukanwa Samia.
Hatuwezi kumtetea mtu anayetuteka, kutuua na kutupoteza