Gen Z Kenya, wapata kihoro, wanatukana, Tanzania kimyaaa !

Sio KWELI Samia hapendwi TZ kwasababu watu wanatekwa na kuuwawa nayeye kama chief comforter hasemi Chochote ndio maana anaonekana ndio anayeamrisha haya (rejea press conference ya Jana) kiufupi mtekaji ni Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…